Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa raia wao zimetuma ndege na mabasi mengi ili kusaidia kuwatoa raia wao wanaotaka kurudi nchini kwao kwa...
Waandamanaji... Tena hawajaua polisi tu bali wamechoma vituo vya polisi, wamechoma magari ya polisi, wamechoma petrol station na magari ya watu wasiokuwa na hatia. I mean magari yote yaliokuwa yamepaki au kwenda kujaza mafuta kwenye petrol station hizo yameungua, wamechoma maduka na nyumba za...
Kama wewe ni mtaalam wa kusoma body language za watu utagundua vizuri kuwa Mange ni muongo muongo anaeokoteza maneno ya kuwahadaa wajinga kwa ajili yake NA wenzake. Yani ni mtu ambae anapambania tumbo lake na watoto wake. Hawa watoto wa masikini wanaoingia barabarani kufa, kuumizwa na kukamatwa...
Mkuu kumbe wewe ni muungwana sana, hivyo acha na mimi nikujibu kiungwana.
Inawezekana ukawa haujui kweli kwamba haya mambo ya machafuko yalitaka kuepushwa na serikali, ila kwa upande wa waandamanaji wao walikuwa na agenda yao ya siri hivyo walipinga kile walichoambiwa.
Hawa watu waliambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.