Recent content by mr collins

  1. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Amekosa kazi ya kufanya huyo anatumika tu huyo yaan miaka 7 anachukulia easy tuu, Rais kazi yake kutumikia wananchi iyo 5 yes inamtosha tuu...huyo Musiba ni mihemko hiyo aonekane na mkulu ili amfikilie hata UDC..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Amen.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

    Bado muamala haujatema subilia cku mbili tatu ivi..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Kweli kabisa wengi usanii mtupu na wanapeana na kubebana kwenye izo pepa zako wanazopublish ...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today I am marrying the woman of my dreams, leaving out the love of my life

    Hongera sana ndugu kila LA heri na ila ndoa zina changamoto pia ujiandae kabiliana nazo, Mungu awe nguzo na taa yako ..
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume 45+

    Ahaa c kweli wote wako kitoto kwan mi ni wa 1984 but cna izo tabia za kitoto kwan najielewa na nna familia ya watoto wawili na ninesoma elimu yangu nzuri tuu..
  7. M

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Ajira

    www.ajira.ac.tz
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lushoto: Mawe yaserereka na kuangukia magari, Nyumba zajaa tope, Majeruhi wapelekwa Hospital

    Mvua inanyesha sana tanga kwan hata mi j2 iliyopita nimetoka songe kilindi maeneo ya kwediboma hapapitiki barabara ineharibika sana Noah nilikua zinapita kwa shida sana ILa mabasi Hajees,kipacha hayakuweza pita..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lushoto: Mawe yaserereka na kuangukia magari, Nyumba zajaa tope, Majeruhi wapelekwa Hospital

    Poleni sana mliofikwa na Jana hilo.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utawala wa awamu ya 5 umeniachisha mademu zangu

    Na bado ndo safi tuendelee kuisoma no na mlizoea vya kupiga sasa mirija imezibwa na ndo inabidi ujikaze mkanda uishi kwa bajeti ndugu yangu@ wazabanga kuku..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

    Biashara sasa ivi ni ushindani sana na mashirika ya ndege ni mengi so inaitajika ubinifu wa hali ya juu ili tufanikiwe teka soko na faida tupate,pili menejimenti na wafanyakazi wajitume wawe na uchungu wa kuendeleza shirika wafanye kazi kwa bidii na ikiwezekana hata expert aajiriwe sio kila cku...
Back
Top Bottom