Recent content by MR.CHOGERO

  1. M

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Yah kwa kuwa wamezoea mipasho na kuchezesha viuno!
  2. M

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Maigizo yapi,au ulitaka aseme atakuoa!
  3. M

    Tupige kura za hasira

    Wataisoma namba haiwezekani tamasha la wasanii lipewe kipaumbele dhidi ya tukio la kitaifa tena la kuwatafuta viongozi wa nchi,huu ni upumbavu na urofa uliopitiliza!
  4. M

    kwanini ccm wanaweka viti kwenye mikutano yake ?

    Kwa hyo mkutano wenu unahudhuriwa na walemavu tu,halafu nikuulize mbona kila wagombea hawa wanapohutubia wanawaita wote wa kwenye mkutano Wana ccm?
  5. M

    Mkutano wa UKAWA Jangwani: Watu kupelekwa kutoka Dodoma, Arusha, Singida, Zanzibar, Morogoro

    Huo ni mtindo wa maccm sisi wanakuja wenyewe kwan ni kampeni wanakuja kumuona rais wao na sio fiesta ya tr 23 ile ya jangwani!
  6. M

    Majibu kwa Mzee Mwinyi kuhusu CCM A na CCM B

    Sera,mlengo,itikadi,falsafa,malengo na usimamizi wa matarajio ya wananchi kwa sasa ccm A haviendani ndo maana tumeondoka!
  7. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hawajui watanzania wanawajua propaganda ya ccm huwa n ukabila na udini,mwaka huu wataisoma namba kama wimbo wao ulivyo!
  8. M

    Naomba kuijua TUME YA MAADILI ya CHADEMA

    Chadema inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na mgombea anapatikana kwa mujibu wa katiba na sio kikundi cha watu wasiokuwa na maadili kuunda kamati na ikaitwa kamati ya maadili kama ilivyo kwa ccm!
  9. M

    Sababu za UKAWA kutokufungua Kampeni kama ilivyotarajiwa

    Very strategic mr,go ahead!
  10. M

    UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

    Jambo la kwanza ni ratiba ya campain!
  11. M

    Katambi imara zaidi ya kingo za mnara

    Peopleeeeees'
  12. M

    Prof Lipumba kuongea na Wanahabari Jumapili Serena Hotel

    Si ukawa na ndo maana alijitoa na kujiweka pembeni,walio ukawa ni wanaodai mabadiliko ya kweli na wapinzani wa kweli huyo Lipumba ni timu ccm!
  13. M

    Uchambuzi: CCM hesabu zimekataa kusomeka?

    Jaman hivi ule wimbo wa ccm wa "TUMEJIPANGA MWAKA HUU WATAISOMA" hv kweli kwel msanii aliyeuandaa hakuwageuka hawa jamaa?
Back
Top Bottom