Tuko pamoja, ila haya ni matumizi mabaya ya jina YESU, utakumbuka kuwa waliotengeneza meli ya titanic waliapa kuwa hata Mungu hawezi kuiangusha, kilichowakuta wanakijua wao wenyewe. Tayari aliyeiweka cdm arusha mjini ni Mungu, na agano lake litabakia palepale, au sio! Mungu atusamehe.