Mtu mwenye wateja wa moja kwa moja hivyo bila kuangaika kuwatafuta ni TANESCO tu,wewe hutakaa uwapate,na operational costs zitakurudisha kufikiri tena upyaaaaaa
Mmempa kijana wa watu tatizo la familia yenu na bado mnataka kumuongezea matatizo mengine.Si mumshukur hata kawaondolea aibu?
Achen watu wafuraie ndoa yao,nyie ndio mtamjaza maneno dada yenu aje kuishia kuwa single mama
Sisi wanaume kutokana na kuwa na shughuli nyingi sana zinazotufanya tutokwe na majasho mara kwa mara,hii husababisha ngozi zetu kuwa salama na nzuri naturally.So achana na mimafuta mengi,hakikisha tu unaoga hata mara moja kwa siku
Piga futa lako moja la mgando/olive oil sepa....hakuna mambo...
Huyo alikua hajakua kiutimamu mpaka aoe,alikurupuka.
Sasa anamhadithia mama yake ili afanyaje?
Mwanaume ni maamuzi,alitakiwa awe ameshafanya maamuzi ya kiume,huyo mama yake alitakiwa aisikie majibu tu ndio akatafute chanzo kilikua nini?
Mavoko aliimbia"....kuchapiwa ni siri ya ndani...."
Nafikir...
Timu ikishaamua kupack basi,huwez kuifunga kwa kros kirahisi.
Pale kocha pia kachelewa kuielewa hii game na ni kama hawajui vizur wachezaji wake
Yule mzize akili ndogo nguvu nying,ndio maana akibakiwaga hata na defender mmoja miguu inatetemeka hata sehemu isiyo ya kupiga atataka kupiga na hivyo...
Kwa coca sina la kusema..
Ila pepsi ina addiction mbaya sana hasa ile ya bareeeeeeee3d...
Ukinywa pepsi mara kadhaa basi itafika muda utakua huwezi kufanya ishu zako zingine mpaka uipige ile kwanza hasa ule muda ulioipiga ya mwisho ukifiia.
Ukimaliza kugonga supu ya moto unajikuta unatamani...
Hata kiki nisingeuza kabisa
Hati ya mauziano niandike pesa kubwa sana kuliko niliyopokea.Likitokea la kutokea nikatakiwa kurudisha mpunga nitarudisha vipi sasa?
Ni either mteja anachukua kwa pesa niliyoitaja au miki na madalali mazungumzo yanaanza upya au wanasepa na mteja wao
Thanks,nimekuelewa boss
Kwa hiyo inahitaji kuwa na mtaji mkubwa sana ili kutengeneza faida,yan mfanyakazi akikupiga accessories moja,ili kufidia inabid uuze zingine kama 10 hiv
Hii business sijawai ifanya na nina mpango wa kuifanya pia.
Kama ni ana 1.5M basi apige hesabu zake atumie 1M pekeyake.Hiyo 500k itamsaidia pale biashara itakapokua inakutana na dhoruba
Kama anamsingi wa watu,basi afate gunia aziweke ndani auzie kutokea ndani kupitia vikundi vya akina mama kama...
Wenyewe si ndio hao niliwapigia simu kupitia webyao official na wakanipa bei ambazo kama nitauza kwa bei ya kkoo napata faida ya 300 kwa kila pisi sasa nikaona kama ni faida ndogo sana,maana nilitegemea mayb kwa kila pc nitapata 1500-3000
Au ni mimi ndio mgen sana kwenye hii game?
Mimi kupitia huu uzi naomba kujuzwa jambo
Kuna siku niliwatafuta oraimo kupitia online official account yao ili kujua namna nitaweza chukua mzigo kwao ili niweze na mimi kuuza kwa bei za pale kkoo(bei za mazoez)
Lakin nilichokutana nacho kilikua kigumu hata kukielewa
Yaan bei ambayo nilikutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.