Recent content by Mr C Kauli huru

  1. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia akashinda uchaguzi kwa asilimia 97%. Watanzania walishachoka na Upinzani wa mchongo

    Nikisoma naona kama umewatusi wa Tanzania kwa uhalisia na hali iliyopo mtaani juu ya Ccm na mwenyekiti wake. Kwangu inasomeka hivi 1.LAZIMA UFAHAMU KWA KINA KUA.............. NI WAJINGA 2.MTAMBUE KUA WA.................NI MBUMBU KAMA MNAVYO ZANI 3.MTAMBUE KUA WA............. WALISHATUKATAA...
  2. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Tanzania kujitambua bado sana mana hata kama watu wana IQ ila hatwoni zimefanya nin zitakua na faida gan sasa?. So low IQ ndo level zetu yan nisawa na kua na nguo afu ujisifu huku unatembea uchi sasa nguo zitakua nafaida gan kwako?
  3. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Kuna kujua pia kuna kuchukua hatua. Wachache sana ndo wana IQ kubwa ila huenda asilimia kubwa ni low IQ na kumbuka msemo wa Nyerere wengi wapewe. Sawa me najua kua uongoz siwahak ila kujua hilo bado hakuzibitish nina IQ kubwa maana kuna watu wanajua hivyo ila nikwasababu ya kusikia sikia mambo...
  4. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

    Yaaaan watu wasio elewa kinachoendelea dunian ndio huwa wanakuaga Ccm
  5. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Yaaan umeongea vema sana. Tanzania na Africa kwa ujumla hatwezi jilinganisha na wazungu ikiwa kila kitu tutamwachia Mungu. Et tunasema tuilinde tu amani , amani ya woga na usaliti wa nchi. Utu ninini ? Ukiutafsiri utu unaweza jua unamaanisha nini? . Wala hapa hatulindi utu bali woga wa vitendo...
  6. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Umaskini wa nchi uko mikononi mwao na kwakua wanajali maslah yao hawezi jua kwanin nchi nimaskini . Afu ndo mdai et mkiambiwa IQ ndogo mnaleta hoja zakujitetea kivp sasa hapo. Kama wanao hawajavaa nguo uulizwe kwanin wanao hawajavaa nguo useme sjui nikwanin hawajavaa. Utakua kichekesho had kesho
  7. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Kipimo cha IQ kinaanzia kwa anaye waongoza. Haina haja yakubishana sana ukweli ndo huo. Siku zote tunaamini kiongoz ndo mwenye maamuzi yote yataifa. So kama ye ndo anamaamuzi yote yataifa maana yake ni mtu timamu na mwenye kujielewa. Sasa ikiwa nyie ni simba mkaongozwa na kondoo tunaamini wote...
  8. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

    Mtu bussy sana masaa yote sipend changanyikeni. Wananiita mwana Hip hop napenda kufanya mambo yapeke yangu japo had kunamuda najishuku ila ndo tabia yangu meshindwa kuibadilisha. Ila mwenye huruma pia kwa watu nnaowajua siwez kujivunga kutoa katu ikiwa ninacho
  9. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania PICHA: Shule hii iliyojengwa na Rais Samia yawakosha wazungu na kugusa hisia zao. Watamani angezaliwa kwao na kuwa Rais wao

    No naisikitikia hii nchi kwakua watu wake wanajalisana matumbo yao kuliko uhalisia na haki ya kitaifa
  10. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania PICHA: Shule hii iliyojengwa na Rais Samia yawakosha wazungu na kugusa hisia zao. Watamani angezaliwa kwao na kuwa Rais wao

    Ukisema wivu unakosea ila ukisema masikitiko ungepatia mana kunawakati nasikitika kua hivi nini maana ya sisi katika huu ulimwengu?
  11. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania PICHA: Shule hii iliyojengwa na Rais Samia yawakosha wazungu na kugusa hisia zao. Watamani angezaliwa kwao na kuwa Rais wao

    Kweli vichwa panzi niwengi mjini so vijijini hatushangai. Shule moja tu wazungu wanatamani angezaliwa kwao dah! Labda wazungu vizungumkuti akili maji kama .........
  12. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORM NO ELECTION
  13. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Naomba kushare wimbo wangu mpya wa "No Reforms, No Election"!

    Inatakiwa aufanyie translation ili kila mtu auelewe atapata shabiki wengi sana . Ili uendane na jamii iliyomzunguka
  14. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Naomba kushare wimbo wangu mpya wa "No Reforms, No Election"!

    Wimbo mzuri NO REFORM NO ELECTION
  15. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

    Visingizio ili watu wajiandikishe na ndo inayopeleka watu kwenye kitabu chawapigakura. Je kitambulisho cha moiga kura na kitambulisho cha NIDA kipi bora kwa mambo uliotaja?
Back
Top Bottom