Recent content by Mr Brown Mzungu

  1. M

    Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

    ngoja siku na wewe ukamatwe, uteswe ndo uone MATAGA sio watu
  2. M

    Mwananchi inapumulia mashine

    Kampuni ya Mwananchi inayochapisha Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikiaminika kwa kuhabarisha kwa uwazi iko kwenye msukosuko. Pamoja na kushuka kwa biashara ya habari nchini, hali ya hewa so nzuri Mwananchi. Wafanyakazi wa idara ya matangazo wanasema kwamba...
  3. M

    Tumechanganywa kwenye msamaha wa IMF

    Hivi majuzi International Monetary Funds (IMF) imetangaza msamaha kwa Tanzania kulipa marejesho yake kwa muda wa mezi sita. Kiasi ni shilling bilioni 30 ikiwa ni jitihada za kutumia mapato hayo kwa ajili ya kupambana na corona ambayo serikali inadai imemalizika. Lakini badala ya kusema kwamba...
  4. M

    Kwanini tunashindwa kutekeleza Bajeti yetu?

    Nimejaribu kuangalia kwenye ripoti mbalimbali za kiserikali (Wizara ya Fedha) na Benki Kuu Ya Tanzania n kugundua kwamba, katika kipindi cha miaka mitano 2015/16- 2019/20 serikali imeshindwa kabisa kujinasua hasa utekelezaji wa bajeti. Ukiangalia ripoti hizo kiwango cha juu cha utekelezaji ni...
  5. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Nataka kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki hasa mkoa wa Dodoma. Najua kuna changamoto ya maji lakini naomba ushauri, maji yenye chumvi kidogo yanafaa kufuga samaki. Nataka kuchimbwa bwana pia, naomba minimum estimates za kutengeneza just a local pond kwa ajili ya samaki (Sato) 1,000 au kambale 500
  6. M

    Spika wa Bunge kusema kuwa kiongozi kama Mbowe alikuwa "mlevi chakariii" kwanza ni kujishushia heshima yeye mwenyewe

    Huyu na yeye anatafuta huruma ya mwenyekiti maana anajua kura za maoni hatoboi. Chaguo la Mwenyekiti Spika ni Tulia Ackson.. Aendeleze mashudu yake
  7. M

    Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    wapambe wanatupeleka pabaya. Rais kashasema yeye akimaliza anaenda kupumzika Chato, hivi vijumbe ndio vinajifnya kiherehere. Huyu Keissy zi kaingia bungeni zaidi ya miaka 20, kashindwa nini kubadilisha mambo. Anajifanya yeye ana uchungu na nchi hii wakati ndio walioitafuna. Ngoja kwanza...
  8. M

    Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    never and ever.. yeye mwenyewe kashakwambia haongezi.. nyie mnajifanya vijumbe sana, eh
Back
Top Bottom