Recent content by Mr aloevera

  1. M

    Kizungumkuti cha Mikopo: DUCE wakinukisha Mabomu yarindima

    hakuna aliyevunja chombo chochote hata glass wala hakuna aliye ingia cafteria,huo ni uzushi. Yalikuwa maandamano ya amani kabisa kushinikiza kulipwa pesa mana hali ni mbaya na hii ni wiki ya tatu tangu tulipostahili kulipwa.
  2. M

    ACT-Tanzania: Hakuna viongozi waliosimamishwa uongozi wala kukaripiwa

    Ukila nyama ya mtu hutaacha! Dhambi ya usaliti haitawaacha salama hadi iwamalize!(Nyerere)
  3. M

    Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

    Tuwe wakweli jamani.Serikali tangu 1971 imekuwa na utaratibu wa kushughulikia hayo masuala ya waislam ktk mfumo wa mahakama.Na kama hiyo haitoshi imeshawapa ruhusa ya kuanzisha hz mahakama za kadhi na tayari kadhi mkuu mnaye,sasa huku ktk katiba mnataka nn zaidi? Mnatudanganya et ipate nguvu...
  4. M

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    Mm ni mpinzani sana wa chama cha CCM na sera zake lakini kwa hili la Democracy huwa siku zote nampa big up sana JK. Nakumbuka kauli yake moja alisema "kuishi bila wapinzani wako hupunguza radha ya maisha!" Nashukuru dunia imeliona hilo! Jamani siasa si uadui, anapostahili mtu kusifiwa, msifu...
  5. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Yeee.....ss watoke wanafiki wote chama kibaki na cream.CCM tunaomba muendelee kutusaidia hii kazi njema ya kutuondolea uchafu ktk chama,ongezeni dau kwa wanachumia tumbo watoke wengi zaidi!! Chadema ina watu wengi kuliko mnavyofikiri. Makamanda hii toka toka ni mpango wa Mungu kukisafisha chama...
  6. M

    CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    Halahala jamani ulinzi makini unahitajika zisijekulipuliwa na kitu chenye ncha kali!! Siunawajua?
  7. M

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    RIP kamanda,mapambano uliyoyaacha yanaendelea.Pole sana ndg.Zito K, najua uchungu wa kufiwa na mama.Imana imufashe
  8. M

    Balozi wa UK asema UK inaingia rasmi kusaka wezi wa 200b za BOT

    Yes,hy imekaa vzr! Km wana ubavu wapuuzie hilo beat la UK,thubutu! wataweza wapi hawa watoto wa panya.
  9. M

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Hongera mh.Kesy! Umesema ukweli mtupu japo mchungu kwa wengine!! Mm nashangaa kung'ang'ana na huu muungano wa aina hii.Huyo mb.wa Zanz aliyemwambia Kesy asifike Zanz ndiye mwendawazimu! anamamlaka gani ya kumzuia? na yy anatafuta nn huku Tanganyika? Halafu wanajifanya wana jazba sana! Mbona wao...
  10. M

    Rais Kikwete apata tuzo ya Haki za Binadamu kutoka Chama cha Majaji duniani!

    Kweli anastahili.Naamini one day tutamkumbuka JK kwa style yake ya kuwasikiliza watu! Mm mpinzani ila penye ukweli tuseme kweli jamani.Big up mzee.
  11. M

    Kakobe "Tanganyika huru lazima ipatikane, Nyerere sio Mungu naye alikuwa na mapungufu yake"

    Hongera Kakobe! kama Tanzania tungekuwa na watumishi jasiri 3 kama wewe upuuzi mwingi uliopo sasa usingekuwepo.Kakobe kaongea vizuri sana huku akinukuu maandiko km kawaida yake.Kwamba mipaka ya kila Taifa ni mpango wa Mungu hata kama imewekwa na wakoloni.Kwamba kila Taifa limepewa urithi wake...
  12. M

    askofu mdegela atema cheche juu ya UKAWA mjini Iringa leo.

    Sishangai,viongozi wetu wengi wa dini wa cku hz ni wanafiki sana,hata kama ukweli wanaujua.Ni hawa walisema JK ni chaguo la Mungu then baadae wakaanza kumlaumu ktk mambo kadha wa kadha! Nawakubali sana baadhi yao ambao ni jasiri na wasiopenda kujipendekeza kwa watawala mfano Kakobe.Leo ktk ibada...
  13. M

    Ukabila, Udini vinatupeleka pabaya Tanzania!

    Naunga mkono serikali 3,lakini mleta mada ni mchochezi asiyeitakia mema nchi yetu.Ushindwe na ulegee,kwamba katiba mpya inapatikana au haipatikani TZ itaendelea kuwa na amani.Mungu ibariki TZ.
  14. M

    Kongamano kubwa la CHASO Arusha leo 12/4/2014

    Imekaa vzr sana hii.Nashauri kila mikoa yenye vyuo vikuu tufanye km wenzetu wa Arusha.Mabadiliko yanaletwa na vijana.Peee oples......
  15. M

    Katibu mkuu wa CCM (Kinana) amekuwa mpinzani ndani ya CCM?!

    Anachofanya ni mchezo wa kuigiza kuwahadaa wananchi wahisi wana watetezi kumbe wapi! Ujinga ni mtaji mkubwa sana wa CCM but oneday wananchi wa mashambani watashtuka.
Back
Top Bottom