Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Wanabodi leo kutakuwa na kongamano kubwa la chaso mkoa wa Arusha litakalofanyikia ukumbi wa New safari hotel kuanzia saa sita.Pia zaidi ya wahitimu mia watapewa vyeti.Mgemi rasmi ni mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Arusha Kamanda Nanyaro