Serikali leo imetangaza kusitisha kutoa vibali vya MAHINDI kwa wafanyabiashara kupeleka KENYA sababu kubwa ni upungufu wa CHAKULA nchini na tumeshachelewa.
Mavuno ya Tanzania ni July na muda wa mzunguko wa biashara ni July ~August, hapa mazao huwa bei chee kote, wafanyabiashara wakubwa hutumia...
Waziri Bashe alitangaza nia ya Serikali kupitia Wizara ya Kilimo juu ya UKOMBOZI wa wakuliwa kupewa mbolea za RUZUKU.
LENGO lilikua zuri changamoto kubwa ipo katika mambo mawili.
1.Usajili wa wakulima~ hapa ndio makosa makubwa yalipo na yatakwamisha hili zoezi,Mikoa mingi hasa ya Kilimo...
Leo yamefanyika Majadiliano kati ya Serikali ikiongozwa na Waziri Makamba na Makampuni ya Shell, Equinor, Pavillion, ExxonMobil na Ophir kuhusu mradi wa gesi (LNG) Lindi wa TZS trilioni 70 - utakaobadilisha taswira ya uchumi wetu. Wiki zijazo, mradi huu utatoa fursa Kubwa ya ajira kuliko mradi...
Mwekezaji wa Kapunga Rice Project Wilayani MBARALI Mkoa wa Mbeya amebomoa daraja lililojengwa kwa fedha za michango ya wananchi akidai wanamuibia, Wananchi hawawezi tena kwenda katika shughuli zao maana ndio kiunganishi kikubwa.
Hii si mara ya kwanza Hivi vituko na Manyanyaso hayajaanza leo Ndg...
Tesla imeungana na Apple, Amazon, Google, Facebook na Microsoft kuwa na historia ya kufikisha thamani dola ya Tril 1. Apple ilikuwa kampuni ya kwanza kufikisha thamani ya dola Trillioni 1 mwaka 2018.
Tesla imepanda thamani baada ya kupata dili la kuuza magari 100,000 kwa kampuni ya Hertz.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.
======
Serikali imeelekeza EWURA kusitisha...
Tanzia: Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Serikali itaanza kukusanya kodi ya majengo kwa kupitia ununuzi wa umeme kuanzia Agosti 20, 2021. Kila mnunuzi atakatwa TZS 1,000 kwa mwezi kwa nyumba ya kawaida na TZS 5,000 kwa mwezi kwa kila sakafu ya ghorofa.
Kwa wanaotumia mita za ankara watalipa katika ankara za mwezi.
---
Wakati...
“Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa Duniani chuma imepanda bei ni wakati wa kuharakisha mradi ufanye kazi”
- Rais Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.