Unajua habari ya hapa , watu wengi wanafia dini bila kujua kwamba Biblia au Quran haziongelei dini. Kwa mtu aliyesoma biblia na akaielewa sawa sawa japo kwa asilimia hata 40 hawezi kwenda kanisani kurukaruka kama mtu aliyepagawa ati anacheza kwa jina la Yesu! Kumbuka waliomuua Yesu ni watu wa...
Kwani yule njiwa aliyeshuka kwa Yohana Mbatizaji alikuwa "njiwa tu"? Ile ilikuwa roho. Kwa hiyo hata huyo kuku mchukulie kama representation ya roho. Inawezekana Nabii alizidisha kujitukuza akamuudhi Mungu. Na hapo ndipo roho kwa njia ya kuku alikuja kumuua.
Alifukuzwa usiku, asubuhi akateuliwa mrithi wake. Ni wazi alikuwa targeted, na hata asingetangaza utafiti huo angeondolewa by any means! Na ndiyo maana mbadala wake alikuwa tayari anasubiri siku ifike.
Toka ageuke msimamo wake juu ya katiba mpya nilimtoa kwenye watu wa maana. Na alikuwa mpiga debe wa Huyu Bwana sana tu! Leo anaona ananyemelewa anaanza kujihami. Akae kimya!
Mkuu mbona mapovu. Inajulikana ikiwa na ujumbe gani? Unaona kabisa aliyeleta post ndo hapendi hayo aliyoandika Mange, but still anayapost huku, sasa kati yake na Mange nani anaeneza hii habari? Na kama kueneza hii habari ni kosa, si ndiyo maana nasema yeye na Mange wote wana makosa? Kama mie...
Anonymous , si kila mtu anatemblea account ya Mange Kimambi. Hivyo impact yake ni ndogo kwa jamii. Ila kwa wewe kuileta huku , umeitangaza habari hii kwa wengi zaidi kuliko Mange Kimambi. Je na wewe tukuchukulie hatua gani?
Afadhali, maana amedhalilika vya kutosha. Yaani Professor wa uchumi anatumwa na kina Naape atumike kuumiza CUF kwa malipo ya kulala Ofisini? Mungu amewaona CCM, ameona amnusuru na majanga zaidi! Kila la Kheri ProPesa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.