Watu washajua nyuma ya Makonda kuna nguvu kubwa sana ya Chama na Dola!! Ukileta jeuri utakula jeuri yako!! Ya nini yote hayo? Watanzania wana akili sana, wanasema mtumikie kafiri upate mradi wako! Mwulize Nape Nauye yaliyompata baada ya kujifanya jeuri na kuamua kupambana na Makonda!! Ujue...
Asante kwa kujitoa ufahamu!! Unafikiri walikosea walioiweka Simba miongoni mwa timu bora 8 kushiriki mashindano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE? Simba ni TOP CLASS!!
Biblia inasema kwenye Zaburi 24:1. "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu .........".
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa hakuna Mungu!! Wanashawishika kwa mioyo yao yote kuwa hakuna Mungu!! Ukimwuliza kwa nini vitu vilivyopo ulimwenguni huitwa VIUMBE? Maana yake vimeumbwa, je muumbaji ni...
Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu!! Honestly, it takes a fool to believe that there is no God!! To be convinced that all what we see and don't see they just happened to be there!! All the elaborate living systems and non living systems although they are very complex, however they lack...
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!
Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Mawazo ya kimaskini utayajua tu!! Ni sawa na maneno ya mke wa maskini anayemwonea wivu jirani yake kwa kupelekwa na mumewe outing Dubai mapumzikoni na kudai kuna umuhimu gani wa kwenda kupumzikia Dubai, ni afadhali mume wangu huwa ananitoa kigamboni kwenda kuona daraja na kurudi zetu Tandale!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.