Recent content by Mpolah

  1. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na bei gani ya kitanzania

    Naomba kuuliza hapa napata bei gani kwa pesa za kitanzabnia nimenunua surual ya mtumba ninepata hii hela
  2. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anatamani kumpata

    Alikwambia nani kuwa mwanamke akiwa mzuri kimuonekano ndo anatosha kuwa mke au ndo ndoto ya kila mwanaume. Fanya uchunguzi kwanini wanwawkecwengi walioolewa wako kawaida na sio wazuri kimuonekano kutokana na tabia zoao nzuri, kwanza mwanamke akijiona mzuri sana kudumu kwenye ndoa ni ngumu sana...
  3. Mpolah

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Sema wabongo tunapenda sana kutumia madalaki mzee hiyo million 11 si mtaji kabisa unawexa kujiajiri. Unainekana unazo dada unatoa hela zote hizo na umepigwa tayari
  4. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan weka minzani sawa yafanyike maridhiano husiwasikilize hao machawa waliokuzunguka wanawaza matumbo yao tu.

    Kwahiyo waliofanya hayo kwani si wanajulikana na nani alikuwa amri mkuu wa wale matukio mzee au ulikuwa unamaanisha kitu gani? Au kina nani wachuk huliwe hatua
  5. Mpolah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

    Inategemea hasa utafanyaje malidhiano bila kuwa na mmwenyekiti wa chama yupo jera
  6. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Nimekwenda Ukonga leo nimeshindwa kumuona Lissu

    Pole sana kaka yangu
  7. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Mjombe umetisha sana
  8. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka nikiwa mdogo kuna tukio lilitokea sitoweza kulisahau

    Nakumbuka nikiwa bado mdogo kipindi hicho tunaishi Morogoro huko wilaya ya Kilombero, tulikuwa tunaishi mimi, mimi yangu mzazi na mama yangu mdogo na mama yangu pia alikuwa na wadogo zangu walikuwa bado wadogo na walikuwa mapacha. Siku moja tumelala usiku kuna mtu akaja kuchoma nyumba maana...
  9. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Kwa ufupi siku hizi wanawake wengi wapo kimasirahi sana
  10. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    Kuna na mwnamke mkubwa
  11. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    Kwani kuna ubaya gani kaka
  12. Mpolah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

    Kwahiyo ww mjomba hujui kinachoendelea au na wewe unajizima data
  13. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Tunaenda kuiondoa CCM madarakani kidemokrasia

    Kwa mimi sidhani japo natamani iwe hivyo
  14. Mpolah

    JamiiForums Tanzania Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

    Acha uoga kijana zile ni shahawa zake kwani n yeye alivaa kondom
Back
Top Bottom