Recent content by mpola

  1. M

    Kama UKAWA wanaitaka kura yangu wanithibitishie hili jambo.

    Hii imehitimisha mjadala.Kumwajibisha MTU kisheria sio kisasi.
  2. M

    Mwananchi Insurance Co. LTD

    Chunguza zaidi maana taarifa za hivi karibuni ni kuwa kampuni hii haiko sawa kama zamani kiuendeshaji.Uwe makini.
  3. M

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Inawezekana wamepotosha kweli.Kuna picha inamwonyesha polisi aliyebeba kibag kama cha mtoto wa chekechea anaweza asiwe polisi wa Tanzania na kwenye tukio zito kama lile yuko kidhaifu vile.Litakuwa ni tukio lingine.
  4. M

    Huu uonevu wa wanajeshi Ikulu usifumbiwe macho

    Nakushukuru umeninusuru na hiyo karaha
  5. M

    Huu uonevu wa wanajeshi Ikulu usifumbiwe macho

    Naomba mnisaidie yasije yakanikuta. Niko mikoani miaka mingi nataka kuja Dar wiki ijayo. Hayo ya kichura yako upande upi? Ni barabara ya kule baharini au hii ya kutokea wizara ya elimu kuelekea Ocean Rd hospital?
  6. M

    Safarini muda huu

    Afanyeje.Safari ni ya muhimu,mabasi mengine hakuna.mpe ushauri.
  7. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Hizo rules zilishaanza kutumika toka 1st July 2014.Tembelea tovuti ya SSRA au ya PPF uone.
  8. M

    NEC: Hatutaahirisha Uchaguzi Mkuu Oktoba, wala kuiongezea muda Serikali iliyopo Madarakani

    Kama hivyo ndivyo basi nina wasiwasi zoezi la uandikishwaji wapigakura halitakuwa sawasawa.Kuna mawili ama watu wengi hawataandikishwa kwa hiyo hawataweza kupiga kura ama mwishoni kabisa watakuja na mbinu ya zima moto ambayo nahisi bado ni siri yao.Mkoa mmoja umekula mwezi na kitu mikoa...
  9. M

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Nia kuu inapashwa kuwa ni kumuondoa kwanza common enemy.Na kufanya hivyo lazima sacrifice ziwepo hazikwepeki.Kuyaweza hayo ni kukubaliana kama vyama tajwa vyote vinakubalika hapo,chama kimojawapo kiachiwe kiti cha ubunge kinachobaki kiachiwe viti vya udiwani.Tatizo litakuwa limeisha.
  10. M

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Na timu zimeshaundwa za kuhamasisha kura ya ndiyo.Atajifanya hiyo sio kumlazimisha mtu.Unafiki tu.
  11. M

    Msaada wa sheria, Matapeli Wameniliza

    Njia hii imetumika kitambo.Wanachofanya nikuingilia line ya mtu.Wao ndio wanakuwa na mawasiliano ya line hiyo kama alivyosema mmojawetu hapo juu.By the way as amatter of education, dada yako hakuwa na line au simu nyingine maana si rahisi wakazima line zote za mtu kwa wakati mmoja au?
  12. M

    CCM Zanzibar: Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Zanzibar

    Nadhani huyo mama hajui anachoongea na hili indio tatizo la kutojipanga kabla ya kusema.Nadhani angesema chama chake kitapeleka malalamiko yake kwa wananchi waamue tena juu ya muundohuo.Chama kimojawapo hakiwezi kuvunja muundo huo bila kuwashirikisha wananchi wote.Viongozi wengine bure kabisa.
Back
Top Bottom