Alichofanya Ndugai, ni kukabidhi usipika kwa Tulia mapemaaaa,
Maana spika mzima kujifanya hajui kwanini mradi umekwama ni hatari sana. Wachina walitaka tuwape Aridhi wajenge wao bandari na viwanda. Eneo walilotaka ni kubwa mno. Walioambiwa watukopeshe tujenge sisi walikataa. Wachina na wapigaji...
common sense ni kuwa maamuzi yanaanza siku yanapotolewa sio kabla ya hapo. Wakati maamuzi ya bunge yanatoka tayari CAG alishakabidhi report kwa rais. so speaker anamuamulu rais indirectly kuwa amrudishie CAG report yake?
Kwa uzi wa kiuelewa na ufafanuzi wa namna hii subiria kuitwa majina. Utasikia hoo wakala wa mabeberu, umekosa uzalendo. Ila mkuu haya mambo unayajua na umeelezea kitaalam. Hongera
Hivi mmetulia na kumjadili Magufuli bado tu hamjamfahamu? Yaani yeye hata akipgiwa kura 50 za wateule wake na walinzi wake zinatosha kumpa urais 2020. Na atatangazwa kuwa ameshinda kwa kura 92%. Kagame si alipata 99%. Na akishinda hiyo 2020 kifuatacho ITV ni kubadili katiba ili kuondoa ukomo wa...
Nyani Ngabu, kumbe unafikiri kinyaninyani hivi. Mimi nakuonaga muelewa, unatoaje kauli kama hii? Au umebobea katika ushoga kiasi cha kwamba unatakwimu mpaka zinazoenesha ushoga kwa sio tu dini bali dhehebu. Ni hatari sana kutoa kauli za kichochezi kama hii eti kanisa..... wewe tema mate chini...
Ni kwasababu hatufahamiani. Ila katika haya mambo, kuna watu wawili wanaohusika. Mwanafunzi na Msimamizi ambaye ni mwalimu aliyeteuliwa na idara kummuongoza mwanafunzi katika kujifunza elimu hii ya utafiti. Huwa mnakuwa mmeshawafundisha wanafunzi nadharia ya utafiti sasa mnakuja kuwafundisha kwa...
Upumbavu wa kuharibu watoto kwa kuwaandikia academic proposal msiulete humu. Mimi nilijua kuna mtu labada wa NGO au anataka kusaidia sehemu fulani hivyo anahitaji kufanya research ili awe na documented evidence ya kujustify tatizo lake na kupata hela ya kuboreshea nyie mpo mnapanga kumchomoa...
Ha ha ha haaaa nimecheka kwa sauti, kwa kweli hapa wizara ya chakula hatuna cha kulalamika. Mahindi ni mengi mno bei chee. Hii mada inatuondolea steem tu hatuipendi. ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.