Recent content by mpita-njia

  1. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Meneja Mawasiliano NHIF James Mlowe: Samia atazindua bima ya afya kwa wote Januari hii kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini

    Sio kwamba tungeanza na kuboresha vituo vya afya kabla ya kuanza Bima?
  2. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

    January 2026, bado tunahitaji marafiki?
  3. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

    Wananchi tumenyang’anywa nguvu yetu. Kwa hiyo tumewaachia wajifanyie mambo yao wenyewe.
  4. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    Hii imeishia vipi? Mzigo uliupata, mimi nimekutana changamoto kama hii, tracking inaonyesha mzigo unasubiri kuchukuliwa lakini hakuna details zozote.
  5. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Ile antenna ndio ghali, ila malipo kwa mwezi ni chinj ya 100,000 kwa mwezi. Nigeria wanachajiwa hivyo.
  6. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia peleka zabuni tuinunue Manchester UTD tupate FDI ya uhakika

    Wazo zuri, ila watu wa Arsenal wana jelasi sana!
  7. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

    Ndio maana huwa najiuliza Radio anasikiliza saa ngapi wakati muda wote Mzee yupo Clubhouse.
  8. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

    Wa Uhamiaji, ni wakati sasa ku reform Immigration. Passport iwe haki na si fadhila.
  9. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Huyo jamaa aliyeongoza ni muuza mistimu Njombe. Huyo mwingine hata uki mgoogle huyupo. Kina Mwigulu wana mengi ya kujifunza.
  10. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

    Sio Tanzania tu, hata UK, watu wa London huwaona wenzao wanaotokea North kuwa ni Washamba. Miji ya North ni Kama Liverpool, Manchester, Leeds, Newcastle n.k Watu wa North UK Accent zao huwa ni ngumu kidogo kuliko wa London ambao wanaongea soft Accent except wa Essex ambao wanajifanya ma Gangsters.
  11. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

    Si kama unavyofikiria. Wachache sana kwenye kisazi cha pili ya hao Wakimbizi ndio wanaofuata Uislamu. Wazungu wameshapiga mahesabu.
  12. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Hata kwenu wapo.
  13. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Hili la mlinzi wa Rais kutembea mguu nje ikoje?

    Chadema mmekosa hoja.
  14. mpita-njia

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Tatizo la Chadema ni elimu. Yaani hawajui hata Structure ya bei ya mafuta inapangaje. Kuhusu kukatika umeme kajibu vizuri kabisa leo Bungeni.
Back
Top Bottom