Recent content by mpinga shetani

  1. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ngorongoro kuwa kitalu cha uwindaji

    Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji. Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta. Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
  2. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania TBC ACHENI UTAPELI

    safi
  3. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hakuna serikali inayoweza kupambana na mungu. Au kazi yake. Itasambaratika kama biskuti kwenye chai
  4. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Polisi bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

    lalala
  6. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Osha uso. Tanzania kuna chama kimoja tu cha siasa. Na kikundi kimoja cha kihuni kinachoongozwa na mmiliki wa night club
  7. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Kwa akili yako nyepesi. Hivi kuna mbadala wa CCM? Kuna yeyote timamu anaweza kuamini SACCOS ya Mbowe na Mkwewe Mtei iliyosheheni wahuni wa kichaga na wapiga dili?
  8. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Mnaijua vizuri. Ndio maana unaitaja.
  9. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Na kweli wamelala Chadema. Maana karibu viti vyote vya ubunge, Udiwani na serikali za mitaa viko CCM. Waamsheni watu wenu wapige kura.
  10. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Chukulia Lowassa angekua Rais haya yangetokea au ingekua zaidi ya haya?

    Wangeuawa kabisa.
  11. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Asema Rais Magufuli Ameliingizia Taifa hasara ya Bilion 36 Tangu Awe Rais

    Hamjui siri ya Zitto. Mfadhili mkuu wa Zitto alikuwa ni Ramadhani Dau wa NSSF. MAGUFULI kamtumbua Dau, sasa maumivu yako kwa Zitto..... Na bado
  12. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Ha, ha, ha, ha.
  13. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Kati ya punguani vincent na msomi Mkapa tumuamini nani?
  14. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Toa upuuzi wa ki Nyumbu
  15. mpinga shetani

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima asiyekunywa pombe anaonekanaje? Kuna tatizo gani?

    Pombe ni kama hivi
Back
Top Bottom