Recent content by mpigauzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya isipopatikana 2014; Nini cha kufanya?

    He! Mkuu una moyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Mkuu Invisible, kwa hii kasumba ya "huu ni upepo utapita" nadhani serikali hii sikivu, itasikiliza tu na yatapita. Kwani mpaka sasa tumeona mengi ya ushahidi wa wazi wa akina Chenge lakini serikali ni sikivu tu, inasikiliza na yanapita.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Ana hoja nzuri, ila tatizo sijui kama ana nia ya dhati, maana kwa sasa simwamini sana huy jamaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yawatimua kazi Madatari na Manesi wastaafu wote nchini

    Mkuu kama hata kuandika hamjui, hiyo miili yetu si ndiyo mtatumaliza kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    Nimeipenda hii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Mkuu kwani nyie hamna busara zenu za kutambua mema na mabaya mpaka sheikh awaambie?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Hoja ya Lissu imejaa siasa bila uhalisia. Atuambie kama yeye anajua hicho kiingereza. Kusema sheria ifundishwe kwa kiswahili ni vichekesho kwani mfumo unaofuatwa ni wa COMMON LAW. Hivyo itakuwa ngumu kama Tanzania itatumia kiswahili, ina maana hatuwezi hata kupeleka wanafunzi wetu hata katika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

    Haya sasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

    Mkuu uko sahihi CHADEMA walikojolea Quran kule Mbagala. CDM walichoma makanisa na Sheikh wao Ponda na Farid wamekamatwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

    Hapa umenena mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

    Anachonikera huyu ZZK anajua sana kunyooshea watu vidole. Huyu jamaa mwenyewe maisha anayoishi na magari anayotembelea hayaendani na kipato chake. Amejaa usanii zaidi na kutaka sifa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

    Mnafiki tu, Kiwira ametoa rushwa mpaka basi lakini bado wakashindwa. Mbeya hawataki hata kumsikia huyu mama. Aliponea chupu chupu kupopolewa mawe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magari ya Serikali na madereva wake ni halali kutumiwa na CCM kwenye kampeni zake?

    Yote yana mwisho mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Huyu akithubutu atageuka kuwa mwanamke
Back
Top Bottom