Recent content by Mpigania uhuru wa pili

  1. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mke wa marehemu Ndugai akanusha vikali barua inayosambaa mitandaoni ikidai amejiuzulu nafasi ya katibu Tawala Singida

    Huyo ni ma'mpare mke wa pili ndo anayesimamia show
  2. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    Taasisi zetu za elimu ya juu watu wamelala sana inabidi wahamshwe zimekuwa kama secondary
  3. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Cha ajabu taratibu za kusali kazileta Muhammad Hao waislamu kabla ya Muhammad walikuwa wanatumia taratibu zipi kusali
  4. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dennis huongelei mambo ya sasa ya siasa nchini au unaogopa

    Pamoja na hongera
  5. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Maisha hayako fair 🤣🤣🤣🤣
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Nachokupenda Rais unauthubutu mkubwa sana huogopi chochote angekuwa mtu angetumia jina bandia ila wewe umetumia utambulisho halisi
  7. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeanza kufanyia kazi kisiasa tuhuma za utekaji ambazo zilikuwa ni kilio cha watanzania wengi akiwemo gwajima

    Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Ally Mayayi atangaza kugombea Urais TFF

    Safari hii msomali lazima aondoke ule uhuni wa kuengua wanaompinga safari hii haupo
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Wanajifariji kwa jambo ambalo halina msaada kwao
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Simba endeleeni kushangilia habari za FIFA ila haziwezi rudisha mechi nyuma tarehe 5
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Anatabia ya kuwaengua wenzake kihuni ili apite bila kikwazo
  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Yanga malengo yameshatimia Mechi imeshahairishwa Mguto ameshaondoka Kasongo ameshaondoka
  13. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

    Ni ukweli wanamsikiliza Ali kamwe
  14. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

    Ni ukweli simba ina-kaukubwa flani na inapewa uspecial
Back
Top Bottom