Mbona Mafia nimekaa hapo sijanyimwa kitu!? Nimetoka Moshi mji wa kwanza Mafia Kilindoni, nimekaa vyema sana labda kama ulikuwa na behaviours zako tofauti.
Kuna watumishi wa NMB hapo, wamekaa vizuri sana, waalimu kutoka sehemu tofauti. Why wewe useme ulinyimwa?? Kwamba unataka kununua kuku mtu...
Kwangu mie nilichokiona Mafia haya yote yanatokana na ukosefu wa miundombinu ya kuleta maendeleo! Usafiri wa uhakika ni ndege tu, meli ipo ila mbovu mbovu.
Panapokuwa na maendeleo ni lazima mambo yabadilike, sehemu zote ukienda ambazo hazina maendeleo hali huwa ni kama hivi. Wanakuwa na dhana...
Yaah!! Tuliendelea, alikuwa binti mmoja mzuri sana na amesheheni nidhamu ya hali ya juu.
Mungu mwema cells zilijiunga akapona japo aliolewa na washikadau wengine lakini tunawasiliana vyema sana na kwa heshima kuu!
Kuna pumu na "circle cell" kuwa makini unapokuwa na mahusiano ya watu wenye haya matatizo.
Demu alisafiri toka Tanga kuja Mbeya then circle cell ikamzidia baada tu ya kufika gheto! Sikufanikiwa hata kuenjoy nae, zile to and fro za hospitali usiku wa manane mara mbili tatu, zilinifunza kitu...
Kuna tofauti ya kuabudiwa na kuheshimiwa!! Anayeabudiwa ni Mungu pekee!!
Tatizo vijana mnajifunza dini, mnazijua dini kuzifuata hamtaki!! Dini zote zinatamka mwanamke ataolewa, atakwenda kuishi kwa mumewe na atakuwa chini ya himaya ya mumewe kwa kutii na kuheshimu matakwa ya mumewe!!
Maandiko...
Waafrica ndiyo wabaguzi kuliko hao wote!! Kinachokosekana kwa Mwafrica ni ambague nani kwa kigezo kipi?? Tunakosa vingine vyooote tumerudi kwenye ukabila, ukanda na udini!!
Angalia threads zinazoanzishwa kukashifu makabila na dini za wengine!! Wiki iliyopita kulikuwa na futari imeandaliwa na...
Oyaaah!! Hapo dawa ni kuwa mwanaume!! Kama ulikuwa unampa maisha ya tamthilia za Kifilipino, acha!! Kuwa mwanaume wa kiafrika!! Kauli moja jambo litekelezeke!!
Fanya mambo bila kumshirikisha!! Muondoe kabisa kwenye mipango yako shirikisha watoto kama una watoto wakubwa kidogo!! Atajirudi, hapo...
Mada za kuchokonoa chokonoa udini zimekuwa ni nyingi sana siku za karibuni!! Kuna kaubaguzi ka kidini kanamea au kanajengwa miongoni mwa Watanzania na hili si jambo jema kabisa!!!
Anyway! Wakati mwingine inabidi tukubaliane na ukweli kuwa; Yote haya yanakuja ikiwa ni matokeo ya kupanuka kwa...
Tulikuwa na jogoo mkubwa sana aina ya kuchi!! Sababu tulimpata Kikatiti tulimpa jina "Akwii" .
Alikuwa ukimwita anasikia jina lake na anakuja!! Alikuwa anatusindikiza dukani kama mbwa!!
Huyu jogoo alikuwa mlinzi, akiingia mgeni alikuwa anamkimbiza. Alikuwa anaua kuku wengine wa mtaani hususan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.