Recent content by Mpiga Nyoka

  1. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Wapumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Wanaume wote tunapenda makalio sio baadhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Tupo kwenye raiti traki.. Huyu waziri sio mzalendo kabisa.
  4. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedhamiria kumshtaki mpenzi wangu mahakama ya mafisadi...

    Mwanaume wa Dar
  5. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Sekta ya maakuli Gardner G usiulize jibu tulia tulii......!!!

    Mbona kama chakula cha mtoto mdogo tena wa kike!!!
  6. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama.
  7. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada. Mchumba wangu kaniathiri mpaka kwenye Tendo la ndoa. Hali yangu ni mbaya

    Subiri hao rafiki zako wakianza kupasha kiporo ndio akili yako itakukaa sawa.
  8. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa DAR hii sasa too much

    Wanavutia kwa kweli
  9. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Flat inayoruhusiwa ndani ya nyumba ni LG tu..
  10. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa kujifunza tumia lot size ndogo i.e 0.01 halafu stop loss weka PIPs 20 mpaka 30. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu nimejaribu kureview hiyo pair toka jamaa ameopen position mpk sasa hivi highest price ni 1.3037. Sent using Jamii Forums mobile app Sema kweli siku nyingine asitumie SL ndogo hivyo.
  12. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sawa kabisa naona highest price kati ya 13:00 mpk 13:30 ilikuwa 1.3036 haikufika 38 na hata 13:30 mpk saa 8 highest ilikuwa 1.3037 sasa sijajua nini kilitokea mpk position yako ikawa closed. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Cha kuongeza hapo ni kuset Stop Loss just few PIPs above and below just incase things went south. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mpiga Nyoka

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ninavyoelewa hapo ni kwamba kuingia kwenye market wakati trend ipo kwenye Support ni risk kwa sababu sometime market does not respect the support ambapo wewe ukienda bottom fishing unaweza kwama kwenye tope. Ila pia ikijibu inakuwa na reward nzuri kwasababu utakuwa umekusanya PIPs za kutosha...
Back
Top Bottom