Recent content by Mpeta p

  1. M

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kuna iyo Lory wameandika UTANIKUTA SUMBAWANGA
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

    Nimeumizwa mno na kitendo hichi cha kukamatwa mwenyekiti wa chadema,hakika jeshi la polisi linatumika vibaya...Watanzania tuache uoga na tuweke njaa pembeni tukafanye maamzi sahihi uchaguzi mkuu.Mimi siyo shabiki wa vyama vya siasa ila #CCM siyo sehemu sahihi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Epuka kurudiwa mara kwa mara zoezi la uchukuaji wa alama za vidole wakati wa usajili wa laini ya simu, baadhi ya Mawakala si Waaminifu

    Mimi ni wakala na nasajili laini, lakini kitu watu wengi hawatambui ni kwamba hauwezi kusajili laini mbili kwa wakati mmoja hasa kwa mtandao ule ule kwani inakudai usubiri dakika 30 ndo upate kusajili laini nyingine. Kwa hoja ya kusema kwamba mteja kuweka kidole mara moja hiyo ni sawa lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Kwanza tu Kumpongeza mpinzani ni ishara ya ukomavu na ujasiri,kwani Mh.Mbowe umethibitisha kwamba ushindi wa mpinzani wako Mh.Tundu Lissu haujashindwa, bali unapaswa kutambuliwa na kuthaminiwa.Hongera sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

    Marehemu apumzike kwa amani💔🕊
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mafumbo nina swali lenu hapa

    Atakuwa na miaka yote😎
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za July Babies

    Kuna ukweli, tena na mimi nikiwa mmoja wao ✍️
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi💔🕊
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Itategemeana na msimamo wake yeye kama yeye, endapo akakosa msimamo basi tegemea kama unavyofikiria. Pia itatategemea na sapoti utakayokuwa unampatia pindi akiwa chuo hasa sapoti ya kifedha kwani pesa isipomtosha lazima ataliwa vibaya mno😂 Mwisho,ni vema kama utampatia elimu kuhusu maisha ya...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Itategemeana na msimamo wake mwenyewe,kama hatokuwa na msimamo tegemea hivyo unavyofikiria. Lakini pia itategemeana na sapoti yako kwake hasa kifedha na Elimu kuhusu maisha ya chuo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mimi naomba apone ili aje kujutia maamzi yake ya kipumbavu✍️
Back
Top Bottom