Recent content by mpepo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lodge Kilimanjaro ya Dodoma ina kunguni

    kweli unalipa 25000 then unambulia Kunguni?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lodge Kilimanjaro ya Dodoma ina kunguni

    nikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Msumbiji na DRC kununua dhahabu

    Kama ww sio tapeli nitafute utapata dhahabu ya kutosha. plse be serious.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!

    Ndg PASCO unapaswa uwe NABII kwenye hii forum. Ulisema mapema kabisa mwezi April kuwa MWISHO WA MULONGO SI MZURI ss imetimia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    Naomba kujua hii game itapigwa saa ngapi kwa saa za huku kwetu? na ni tv gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli hata Mbowe, Lowassa, Lissu na Lema wasingedumu kwa tabia ya unywaji

    Wakudadavua ww ni PUNDA wa ZITTO. anayokutuma ndio unayaleta hapa. Wanywa pombe ni wengi na walikuwa wengi lkn si mabwege kama huyu Kitwanga kwa uchache anza na JPM, JK Original, Lowasa ,Pinda Zito Mbowe nk .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nzowa: Ningekuwa IGP ningefumua Jeshi la Polisi

    Huyo Dogo1ni mvivu wa kufikiri na ana chuki binafsi na Nzowa ss tunaomfahamu tangu akiwa RCO hakika mwanaume huyu amelifanyia makubwa hili taifa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba: Biashara na uongozi wa umma - Azam Two

    Kama hujui mambo ya historia za watu kaa kimya. Hapa kuna wa2 wamesoma naye kuanzia Mby Meta Sec.mpaka. Ud . wanamjua Vizri sana. ni Smoker mzuri sana labda aje aseme kuwa ameacha. .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba: Biashara na uongozi wa umma - Azam Two

    Yaani hata WAVUTA BANGE wanataka U dc? kwa kweli nchi hii haina VETTING.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nzowa: Ningekuwa IGP ningefumua Jeshi la Polisi

    Ndg kiSAIRO achana na hao wasiotaka hata kujiongeza kwa kujisomea na kupata habari zaidi kuhusu MIHADARATI ktk nchi hii. Mzee Nzowa amestaafu huku akiwa maskini na sasa anaishi kwny nyumba ya kawaida kabisa huku alikuwa akikamata na kuhifadhi Mabilioni ya Madawa wakati kuna vipolisi vidogo tu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nzowa: Ningekuwa IGP ningefumua Jeshi la Polisi

    Nitakuja kutoa habari jinsi shikuba alivyoweza kutorokea SA.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nzowa: Ningekuwa IGP ningefumua Jeshi la Polisi

    Kwa taarifa yako yule Gwiji wa Unga ambaye Obama alimtaja (SHIKUBA) alitoa kauli kwa msaidizi wake akiwa SA kuwa wote waliotaka kumkamata hapa Tz walishindwa kwasababu walikuwa na THAMANI ila alishindwa kujua KAMANDA THAMANI YA GODFREY NZOWA
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nzowa: Ningekuwa IGP ningefumua Jeshi la Polisi

    Hujui Nzowa ni NANI na kaifanyia nini nchi hii. hakika mtu huyu alikuwa ni zawadi toka kwa MUNGU.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nakionea huruma Chama Cha Mapinduzi

    Huyo Peter Noni ni nani? Ni maarufu kuliko ZITO au ni jina la a.k.a la Rizwan Kikwete baada ya kuslim! !!?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

    Kukalili ndio upuuzi gani wewe Uvccm.??
Back
Top Bottom