Recent content by mpendaMaendeleo

  1. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja na shamba lakini sio kupitia madalali

    Hilo unalotaka bila dalali labda mapori ya serikali huko nanjilinji ila hapa mjini nikupe taarifa hata ndugu yako wa damu atakupiga cha juu aka atakudalalia hata kama hataki
  2. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Hili ndio wazo langu la biashara nahitaji mchango wa mawazo zaidi

    Nakujuze tu Kwamba wazo lako ni nzuri umefanya la maana kulileta hapa hivyo fanya hima uanze kwani tayari kuna mwalimu mmoja wa chuo kikuu udsm tayari huu ni mwaka wake wa pili anafanya hii biashara unayo sema kwa kutumia vijana na wakati mwingine huenda front , na huyu ni wa pili kati ya ninao...
  3. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Nicheki inbox nikupe mwanga wa nini maana hasa ya uwekezaji na jinsi sahihi ya kuwekeza! Ili ulicho nacho usije kipoteza
  4. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Natafute nikupe Dira ya njiaa sahihi ya wewe mwenyewe kuona biashara unayopaswa kufanya
  5. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Real Estate business?

    Hii biashara ipo kwa naamna mbili yenye kufuata sheria na yenye kufuata taratibu za kimazoea japo kuwa kwa sasa imepoa kidogo kutokana na halialisi ya kutokueleweka ya kiuchumi. Nianzie na yenye kufuata sheria Hii kidogo inahitaji mtaji kiasi kulingana na unako lenga hasa kwa mfano unataka...
  6. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa 1.5m tu mbezi mpiji

    Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja. Bei kuanzia tsh 1.5m tu Kwa taarifa zaidi piga 0715338989
  7. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei nafuu kuanzia 1.5M vinauzwa Mbezi

    Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja. Kwa taarifa zaidi piga 0715338989
  8. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa viko mbezi mpiji magoe

    Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea, viko eneo la makazi sehemu nzuri, umeme upo, maji yapo na barabara nzuri. Kwa taarifa zaidi piga#0653367580
  9. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa viko mbezi mpiji magoe

    Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea, viko eneo la makazi sehemu nzuri, umeme upo, maji yapo na barabara nzuri. Kwa taarifa zaidi piga#0653367580
  10. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    huyu jamaa hayuko serious nijuzi tu alinukuliwa akisema mafisa ardhi wanahujumu miradi ya viwanja kwa kujiuzia wenyewe Kisha kuviuza kwa bei kubwa kwa Wananchi hivyo Wizara imeamua kuandaa Mkakati wa Makampuni binafsi kufanya kazi ya upimaji ardhi.
  11. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Job: Accountant 1 post

    job :Accountant - 1post Employer :kabone contractors Ltd S. L. P 33081 D. S. M, email : hrkabonecontractors@gmail.com Date published : 24-05-2016, Application deadline :15-06-2016. Job summary : N/A Duties and Responsibilities : . Kuandika na kutunza 'register'...
  12. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa mara nyingine tena

    P Vp bando lipo
  13. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Position Project Manager to be filled

    Job Title : Project Manager Requirements : 1.University degree in civil engineering or related. 2.Three years working experience in civil or related. 3. Project management professional (PMU) will be added advantage. If interested send your cv at hrkabonecontractors@gmail.com
  14. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Send your resume cv at hrkabonecontractors@gmail.com
  15. mpendaMaendeleo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Kapange foleni, usubiri mgao hata mombasa ziko Za bure na hakuna foleni Wahi
Back
Top Bottom