Job: Accountant 1 post

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
job :Accountant - 1post

Employer :kabone contractors Ltd S. L. P 33081 D. S. M,
email : hrkabonecontractors@gmail.com

Date published : 24-05-2016,
Application deadline :15-06-2016.

Job summary :
N/A
Duties and Responsibilities :
. Kuandika na kutunza 'register' zinazohusu shunguli Za uhasibu.
. Kuandika Hati za malipo na Hati za mapokezi ya fedha.
. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu.
. Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu benki na etc.
. Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, hesabu za benki na Amana.

Minimum Qualifications and experience
.Holder of diploma in accountant & finance at any recognized institutions.,
working experience at least two years.
Age not exceeding 35 years.

If interested send your resume cv to our email address above.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom