Recent content by mpenda sifa

  1. mpenda sifa

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    steve anaonekana ni mnafiki kabisa asidanganye hvo alichosema kweny clip kina ukwel。。。 sasa kama sio mnafiki aseme kwann hakwenda kumuona wema central。
  2. mpenda sifa

    Nani atatusaidia kujibu maswali haya kwenye Voice Note ya Steven Nyerere na mama Wema Sepetu?

    maswali hayo kaulizane na bwana ako bashite。。
  3. mpenda sifa

    Rais Magufuli apumulia mashine kuifunika Legacy ya Kikwete

    Hv na ww unajidai kabisa eti mwana ccm khaaa?? Utakuja mwana mirembe ww sio bure
  4. mpenda sifa

    Rais Magufuli apumulia mashine kuifunika Legacy ya Kikwete

    Kaa kimya msukule ww ugoro unajibiwa?? Akili za makalio mpeleke mfalme wako akukung'ute
  5. mpenda sifa

    Makonda anaonekana kuwa tishio kwa nafasi za wenzie CCM

    Naomba nikupe heshima yako... Shkamooo ndg yangu
  6. mpenda sifa

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Hv ww hukutajwa kwenye list ya daudi basheti?? Kama hukutajwa basi unakila sababu ya kumtetea..
  7. mpenda sifa

    Kwanini Jaji Kihiyo anang'ang'ania kuendesha kesi ya cuf dhidi ya Lipumba ?

    Mweeeee kumbe hadi kwa majaji nako kuna figisu?? Hiii vita hapana kwa kweli
  8. mpenda sifa

    Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

    Binafsi sina imani na hyo ofisi na nasema ukwel na msema kwel ni mpenzi wa mungu
  9. mpenda sifa

    Juma Kapuya: Sisi ndio wenye nchi,watoto wetu wanauza madawa ya kulevya nani wa kuwakamata?

    Makabuli yafukuliwe tunataka kumjua huyo mwanae anaeuza sembeee
  10. mpenda sifa

    KISUTU: Yaliyojiri kesi ya Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio. Shahidi wa Jamhuri aweweseka

    We nawe vp mbna unatujazia nzi kwa vimaneno vyako viwili ku repost kila saa
  11. mpenda sifa

    Zuio la safari za nje kuokoa billion 900 ni uongo!! Kwanini tunadanganywa??

    Sishangai kama kuna watu watakaokuja kuitetea serikali mana sh 7000 ya chama fulani kuipata na kuitetea inabidi huwe mwendawazimu kwanza
  12. mpenda sifa

    Rais Magufuli hajatekeleza hata ahadi moja soma hizi ahadi zake alizozitoa na ilani

    Mi sisomi mana ntalia bure hapa walaii ngoja tuangalie episode ya unga na dona inaishaje mana tushashikwa akili na tamthilia za muendelezo na mkatizo..
  13. mpenda sifa

    Msaada jinsi ya kupata scholarship kwenye technical collage nje ya nchi

    Jaman wandugu mwenye uzoefu na ujuzi naomba msaada jinsi ya kupata schirship kwenye vyuo vya ufundi nheya nchi
Back
Top Bottom