Kwanini Jaji Kihiyo anang'ang'ania kuendesha kesi ya cuf dhidi ya Lipumba ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,773
239,442
Zipo taarifa kwamba Chama cha wananchi ( CUF ) Kimekata rufaa kupinga Mh Kihiyo kung'ang'ania kuendesha kesi hiyo licha ya kukataliwa na walalamikaji wakidai hawana imani naye

Swali langu kwa wanasheria mliomo humu Jf , ni kipi kinachomfanya Kihiyo kung'ang'ania mithili ya luba kwenye kesi hii , anapanga kulazimisha kumnufaisha nani ?
 
Mkuu,pande yoyote ya kesi yaweza kuwasilisha Mahakamani maombi ya Jaji kujitoa kwenye shauri. Maombi hayo,kama yalivyo mengineyo,husikilizwa na kutolewa uamuzi. Kukataa maombi hakumaanishi kung'ang'ania.

Kimsingi,pande inayowasilisha Maombi ya Jaji kujitoa inabidi iainishe na kuthibitisha sababu za Jaji kujiondoa,kwa mfano Jaji kuwa na mgongano wa kimaslahi. Kujitoa hovyo kwa Majaji nako ni hatari.

Mimi ni Wakili Msomi
 
Asante , ngoja tuwasikilize na wasomi wengine .
 
Lakini kisheria na kiungwana kama upande mmoja hauko radhi na Jaji alieteluliwa ni sahihi kisheria kupinga kwa sababu zao na kubadilishwa!! Ikitokea Jaji amekomaliaa ujue huyo ana maslahi binafsi hafaiii
Mkuu,pande yoyote ya kesi yaweza kuwasilisha Mahakamani maombi ya Jaji kujitoa kwenye shauri. Maombi hayo,kama yalivyo mengineyo,husikilizwa na kutolewa uamuzi. Kukataa maombi hakumaanishi kung'ang'ania.

Kimsingi,pande inayowasilisha Maombi ya Jaji kujitoa inabidi iainishe na kuthibitisha sababu za Jaji kujiondoa,kwa mfano Jaji kuwa na mgongano wa kimaslahi. Kujitoa hovyo kwa Majaji nako ni hatari.

Mimi ni Wakili Msomi
 
Zipo taarifa kwamba Chama cha wananchi ( CUF ) Kimekata rufaa kupinga Mh Kihiyo kung'ang'ania kuendesha kesi hiyo licha ya kukataliwa na walalamikaji wakidai hawana imani naye

Swali langu kwa wanasheria mliomo humu Jf , ni kipi kinachomfanya Kihiyo kung'ang'ania mithili ya luba kwenye kesi hii , anapanga kulazimisha kumnufaisha nani ?
Huyu jaji pia ndio anashughulikia Kesi ya Kikatiba aliyofungua Mbowe
 
tatizo nasikia huyu jaji mwazoni tu alisena maneno ambayo yalionesha anataka kupendelea upande wa chakula cha kuku
 
Back
Top Bottom