Recent content by mpenda pesa

  1. M

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Dah mungu amempenda zaidi pole kwa familia ya mzee mgimwa na watanzania wote aliowatumikia kwa kipindi cha uhai wake
  2. M

    CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

    Mapenzi yakizidi sana yanaitwa lumbwata usiegemee upande mmoja tafakar na fanya tafiti ukweli upo wapi zitto ni muas katika hizi harakati za mapinduzi
  3. M

    CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Matunda ya usaliti ndo hayo zitto pole sana!
  4. M

    Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

    Jamani hii sembe ndio inawatesa hivi turuhusu bas kwenye hii katiba mpya iwe biasharA ya nchi...cuz mnapambana tatizo ndo linaongezeka labda tukiruhusu litapungua
  5. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Dah....kwenye nchi hihi au nyingine? Ila sishangai tumia fursa twenzetu viongoz wetu c makini xana ndomana madawa ya kulevya ni biashara halali ilipiwe kodi basi hata mwalimu akifufuka asimlaumu mgimwa kua hakusanyi kodi
  6. M

    Huu ni wakati sasa wa Wachaga kukataa huu ubaguzi.

    Hakuna udini wala ukabila kwenye nchi hii bali janja ya ccm pale mambo yanpokua magumu ndo inatumia hivyo vitisho...mtanzania huyu ninayemjua mimi hapendi vurugu mpe milo mitatu hata kwenye maandamano huez muona
  7. M

    Membe ni kiongozi wa watu na mwana diplomasia aliye komaa mwenye msimamo usioteteleka

    Nakuunga mkono sana kwani historia inaonyesha mawaziri wa mambo ya nje ndo hua marais..nasikitika sana na chadema yngu nilikua naambiwa siasa mchezo mchafu sasa nimeamini hata ccm wanavyosema watatawala milele naamini hakuna upinzan tanzania....PAC imeizika chadema
Back
Top Bottom