Recent content by mpenda mabadiliko

  1. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Polisi mkiwakamata wahalifu wapigeni bila huruma, watakaohoji waje kwangu

    jmn hawa viongozi ndo wanatumia askari wetu wanachukiwa kwel nawaona hawa askari wetu nawaonea huruma sana hawana jinsi lkn mungu atashughulika na hao wanaofanya hvyo
  2. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    watawala wetu nimeshindwa kuwaelewa cjui hatima ya.nchi yangu hadi sasa
  3. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

    huyu mzee anatakiwa apimwe akili huyu sio mpinzani ni mtaka tonge tu
  4. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Maombi maalumu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli

    nitamuombeaje mungu(mtukufu)?
  5. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumejiandaa barabara kukabiliana na operesheni UKUTA ya CHADEMA

    hamna utani kwenye democrasia
  6. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 10 kwa ubora wa uchumi Afrika

    hizo labda ikute ni nchi za mwisho
  7. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    huyu lusinde afikirii atakuwa na elimu kwel kwa haya maneno yake?
  8. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    hao dola si binadamu mm nitakuwa mstari wa mbele atakayemwaga damu itamlilia vizazi vyake vyote watakufa kwa damu
  9. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Lema kumchonganisha Gambo na Mh. Rais wabainika

    ww ujui chochote tuulize tunaoishi arusha then mleta mada ww ujui chochote ni chuki binafsi na lema alishinda bila kutumia nguvu yoyote
  10. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    mungu wasaidie hayo maneno waliyosema yasiwarudie tena wao
  11. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Wauza viatu vya mtumba Arusha

    nilienda kununua koti nikaambia ni tsh 295000 ya mtumba
  12. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    hyo biashara utafaidisha tanroad tu tafuta biashara ingne ndg
  13. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN

    yupo maeneo ya arusha anaitwa kirilo maeneo ya meru
  14. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Hakika Lowassa watanzania watakukumbuka sana

    kuna siku ataingia hapo magogini tu
  15. mpenda mabadiliko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tunaweza kuingia kwenye machafuko kama yale ya Rwanda

    MUNGU mpe huyu mtu hekima umnyime vingne vyote!
Back
Top Bottom