Recent content by Mpenda Kwao

  1. Mpenda Kwao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    Evelyn Salt katika ubora wako. Kula tano aisee. Huwa na admire sana majibu yako ya short but clear.
  2. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM na Tano Bora Urais: Wanne Wanajulikana, Mgombea Wa Tano Bado Kitendawili

    Pia inawezekana x bado hajachukua form. Tusiangalie tu kwenye kundi la waliojitoeza.
  3. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Kumbe Mkosamali alikuwa sahihi, watanzania yabidi tupimwe IQ zetu. Yaani mtu kaja kaandika wala hujajisumbua kuthibitisha tayari umeshayafanyia maamuzi maandiko yake? Ni makosa haya haya tuliyafanya 2005 tulipoaminishwa kuwa Salim ana ndugu zake jeshi la Oman na picha za makaburi ya wazazi wake...
  4. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

    Kama nimemwelewa Mbowe vizuri haimaanishi anataka achaguliwe yeye badala ya EL.
  5. Mpenda Kwao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mtofautishe kati ya usinikubali harakaharaka na kukataliwa kiutu uzima

    Kwa kiapo hicho wewe lazima ulibanduliwa aisee!!!!!
  6. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Warioba Anataka Nini Hasa?

    Too low! Hivi mbona baba yako haropoki namna hii? Kwa jinsi unavyozidi kujibujibu kila hoja ndio unatufunulia uwezo wako wa kufikiri. Hata kuedit tu unachoandika ni tatizo kwako achilia mbali kutoa hoja zenye mashiko, kuna mchangiaji amekukumbusha ujibu maswali saba ya mh. Warioba wala...
  7. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu aponda utovu wa umakini katika diplomasia ya JK

    You have a very good intuition comrade!!
  8. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Naona sasa mnatambua kuwa kumbe video inaweza kuchakachuliwa. Ni hatua nzuri kuweza kuwafikisha waliomchakachua Lwakatare mbele ya vyombo vya sheria.
  9. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Maxence (baada ya ajali ya gari): Ahsante Mungu, ahsante watanzania!

    Poleni sana na Mungu awajalie uponyaji wa haraka.
  10. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu .

    In red, nimeukubali huu msamiati mpya.
  11. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Nonsense at higher magnitude!!!!!! Hili jambo ni serious, usiokoteokote vijimaneno visivyo na mashiko kujaribu kujustify kwa issue kama hii. Nenda kasome vizuri kwanini alisema haitatawalika. Natamani wewe ungekuwa mhanga wa hilo bomu uwe umepoteza ndugu kama ungekuja na huu upuuzi.
  12. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Dr.Ulimboka

    JF ni noma!! Ina mtandao mrefu kiasi kwamba mtu akija na porojo anavuliwa nguo hadharani. Hii nimeipenda.
  13. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Hii sasa too much! Wakandarasi wa gesi wanakwenda Mtwara kwa ndege na kurudi kulala Dar kila siku

    Naomba nitofautiane na wewe katika hili. Ni kweli mkurugenzi mkuu ana ofisi dar es salaam lakini sio kweli anakuja na kuondoka daily. Normally akija anakaa few days then anarudi Dar. Sometimes anakaa hata wiki 2 bila kuja Tanga.
  14. Mpenda Kwao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Mjeda ananikumbusha yule jamaa wa intelijensia mwenye ID ya Hutaki Unaacha alivyokuwa anatumegea kwa mafungu mafungu namna hii hadi akasepa mazima.
  15. Mpenda Kwao

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wakerwa na viongozi wa Kanisa kuliharibu jina zuri la Z'bar na watu wake.

    Sikushangai kwani ndio sababu hujawahi kulike chochote kinachojadiliwa humu JF. Tuna safari ndefu sana kufikia amani, utulivu na maelewano huko Zanzibar. kweli kabisa unaamini wakristo ndio wahusika wa hizo vurugu huko? Andiko lako linafunga mwaka kivingine mkuu!!!!!
Back
Top Bottom