Tusijisifu wakati tunaona mapungufu makubwa bado, tunao uwezo wa kuwa wa kwanza Afrika - dhahabu, almasi, tanzanite, uranium, gas, nk na uwezekano wa kupata mafuta, ardhi kubwa na nzuri; mito yenye maji muda wote, maziwa na bahari, misitu nk hata maeneo ya ukame tungeweza kuyabadili yakafaa kwa...