Recent content by MPEKENYELA

  1. MPEKENYELA

    Vipi kuhusu huu mfumo wa HESLB wa kuonesha madeni?

    Samahan wadau, Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa. Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
  2. MPEKENYELA

    Rais Magufuli, haina haja ya kuongeza mshahara kwa watumishi wa Umma

    Ndio maana aisee....Milembe umetoroka ww Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MPEKENYELA

    Serikali yapandisha makato ya bima ya afya kwa wafanyakazi kutoka 3% mpaka 6% Januari 2020

    Leo katika mbao za matangazo kutoka katika halmashauri tofauti kumeonekana tangazo la kupandisha kwa MAKATO ya bima ya afya kwa WAFANYAKAZI...lengo likiwa kuboresha huduma za afya kwa mujibu wa tangazo Hilo.....Hivyo MAKATO yatakuwa Mara mbili ya MAKATO ya Sasa.... IKUMBUKWE TANGU KUINGIA...
  4. MPEKENYELA

    Rais Magufuli ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

    Well said...maendeleo ya Tanzania Yana chama... Ubaguzi ulio wazi wazi....mnapelekea maendeleo CCM tu
  5. MPEKENYELA

    Hukumu ya Ado Shaibu Vs Magufuli kesho

    Ishajidhalilishaaa
  6. MPEKENYELA

    Hukumu ya Ado Shaibu Vs Magufuli kesho

    It is all done....best comedy
  7. MPEKENYELA

    Tanzania inaongoza kwa gharama kubwa ya Internet Afrika Mashariki na Kati

    Ingia Halotel-*150*88# halopesa -Vocha na Vifurushi-mega bando......Raha tupu Ukiweza chukua royal bundle kwa mwezi 10000 Tu unlimited browsing
  8. MPEKENYELA

    Haki ya kuchukua mafao kutoka mifuko ya jamii

    Vipi habari ya Fao la Uzazi....maana tangu mifuko hi iunganishwe ofisi zote zinasema wamepokea maagizo toka kwa DG wasitoe mafao haya ya Uzazi....Mwenye taarifa na maelezo kuhusu hili atujuze
  9. MPEKENYELA

    Tundu Lissu: Remedy? Tunaenda Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Tutajua kama tuna Mahakama ya Tanzania au tuna 'Mahakama' ya Tanzania

    Nionavyo mini kupitia kesi ya Lissu ni uoga wa mahakama kwa mihimili miwili ya Bunge na Executive...ukiangalia kimantiki mihimili hi miwili in muungano sababu member wake walio wengi wanatokana na chama hasa Cha mapinduzi. HONORABLE JUDGE MATUPA anaonekana wazi kuamua penati ili kuwapa ushindi...
  10. MPEKENYELA

    I kept quiet

    They came to silence you forever.....U'll still be quiet
  11. MPEKENYELA

    Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

    All in all hakuna Serikali yenye maamuzi mabovu Kama hii..... tukutane 2020
Back
Top Bottom