Umrnena vema sana mkuu! Hakika mzazi anapasea kuwa mfano kwa mtoto. Chochote ufanyacho ndio watoto nao wanaiga na ndivyo ambavyo watafanya!
Basi mkuu, labda na hili pia ungeliweka wazi, kwamba iwapo mtoto amekosea kwa makusudi au bahati mbaya, ni njia gani sahihi ya kumuadhibu!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.