Umenina vizuri sana, na huo ndio ukweli wenyewe, tatizo wale wahasimu wako utashangaa " watakavyokuchambua". Usijali sana kwani ndio siasa, umesemea wengi na ujumbe umewafikia wahusika.
Safi sana kijana, ndio mmelewa hivyo kwenu kutukana hata watu wazima. Tabia za Facebook unaleta humu. Pole sana kijana wangu, Mungu akubariki sana maana hujui hata unayemtukana ni nani.
Sasa ubwegee umetokea wapi hapo mkuu, hivi lazima kukomenti usipite tu kimya kuliko kujidhalilisha kutoa lugha zisizo faa. Una matatizo kichwani kwako. Unapovuta bangi zako uwe mpole sio kuropoka tu. Kwani hapa mjini kuna nini? Jinga.
Pale hakuna upako wowote ni utapeli na shuhuda za uongo. Mlima wa moto , lile limama silipenda kweli. Siku moja nakwenda pale kanisani kwake ananiamibia pokea gari, pokea nyumba ya kisasa, pokea ukurungezi, pokea tiketi ya kwenda marekani, pokea mke. Nikamtazam yule mama sikumwelewa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.