Recent content by mpasta

  1. mpasta

    Kero ya kutozwa pesa na mawakala wa benki kwa malipo ya Serikali

    Nipe jibu basi....ili nijue kama ninapigwa au laaah...mie mlalahoi buku mia tano kubwa sana kwangu
  2. mpasta

    Kero ya kutozwa pesa na mawakala wa benki kwa malipo ya Serikali

    Wadau habari za mchana. Kuna hili jambo la kulipishwa gharama ya malipo ya Serikali namawakala nilikuwa nalisikia kwa watu leo limenikuta. Nimeenda kufanya malipo ya TZS 560,000/= kwa CONTROL NUMBER 991440462684, Wakala wa Benki ya CRDB kaniambia nilipe TZS 1500/= Nilipouliza ni malipo ya...
  3. mpasta

    Daladala rasmi kurudi upya katikati ya Jiji la Dar-es-salaam mara baada ya mradi wa mwendokasi kushindwa kutoa huduma ipasavyo

    WATANZANIA NADHANI TUNACHOWEZA NI KUJISAFISHA BAADA YA KUMALIZA HAJA KUBWA.....SIDHANI KAMA TUNAWEZA CHOCHOTE, MRADI MZURI SANA UMESHAKUFA
  4. mpasta

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Amejitakia msiba wa mtu sio baba Yako, sio mama Yako...unaacha kazi zako unajipanga barabarani, mie bado sana wazimu huo hujanipata bado [emoji16][emoji3459][emoji3459][emoji108][emoji1732]
  5. mpasta

    Tutafute chanzo mbadala cha sukari ya miwa

    Nadhani Exposure yetu na mawazo mgando, INDIA na BRAZIL ni wazalishaji wakubwa wa Sukari ya Miwa lakini nao sasa wameanza kilimo cha SUGAR BEET ..., mabadiliko ya hali ya hewa yata tuumbua sana ..sasa na siku zijazo
  6. mpasta

    Tutafute chanzo mbadala cha sukari ya miwa

    Ahsante ngoja nijisomee niongezs maarifa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]
  7. mpasta

    Tutafute chanzo mbadala cha sukari ya miwa

    Zamani ilikuwa inajulikana inastawi kwenye Temperate Zones lakini Sasa kuna mbegu zimefanyiwa Utafiti zinastawi maeneo ya KITROPIKI, ukienda KENYA maeneo ya Nyandarua County wameanza kulima na kiwanda cha kuchakata sukari ya SUGAR BEET kinajengwa maeneo ya KIPIPIRI Constituency... Hivyo ZIPO...
  8. mpasta

    Tutafute chanzo mbadala cha sukari ya miwa

    Sukari mitaani Hali mbaya imefika mpaka bei ya TZS 5,000/= kwa kilo moja. Mwanzoni tulidhani kupanuliwa kwa kiwanda Cha Kilombero, kuanzishwa kwa viwanda vipya vya BAGAMOYO SUGAR, NSSF-MKULAZI na LAKE AGRO-Rufiji kuyamaliza tatizo la sukari nchini, lakini mabadiliko ya hali ya hewa Duniani...
  9. mpasta

    Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Daah zamani nikiwaza kama wewe ila nilikuja kugundua umuhimu wa ndoa siku alipofariki Baba yangu Mzazi, kaka yangu wa kwanza alikuwa 40 years afu hajaoa, mdogo wake alikuwa around 37 ameoa tayari, basi pale msibani wazee wanakaa na yule aliyeoa ndio wanampa maagizo, na kule uwani wanapokaaa...
  10. mpasta

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Huyu Mwamba alinifundisha MODERN PHYSICS....ni balaa, na broken English yake, Assuming The Car is travelling with Zero Velocities [emoji2957][emoji2957][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] R.I .P WIBONELLE, jioni ulitushibisha wanafunzi kwenye Mgahawa wako wa bei CHEO Wali Maharage TZS...
  11. mpasta

    PreGE2025 Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 ufutwe pesa zitengeneze miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za El Nino

    Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa zake kukarabati miundombinu ya barabara. Mwaka 2019 Uchaguzi wa serikali za mitaa ulitumia bajeti ya...
  12. mpasta

    Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Mmeshakula MSOLWA-CHALINZE NYIE??pale msosi mtamu balaaa nikiwa na gari la kazini lazima dereva nimwambie aingie walau nile mbavu za Mbuzi hata kama nimeshiba
  13. mpasta

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Upo sahihi, Customer Care ni pande zote mbili, mtumishi ana haki ya kupewa customer care nzuri na muajiri wake, mfano alipwe stahiki zake kama mshahara, malipo ya likizo, etc kwa wakati, na kama ikitokea tatizo apewe taarifa mapema. Lakini utakuwa Mtumishi wa umma Kuna baadhi Yao Toka aajiriwe...
  14. mpasta

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Hakuna siku nipo karibu na simu yangu kama Leo, kila niliskia meseji inaingia tu Naangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha Raha sana
  15. mpasta

    Zimebaki Siku chache aidha Watumishi wafurahi au wanune

    Nipo NMB Toka ALFAJIRI na ATM CARD YANGU
Back
Top Bottom