Ni kweli! Wakati mwingine walitumia njia ya kununuliwa watu pombe, tishet, vitenge na kadhalika. Awamu hii wanatumia kila aina ya njia kuhalalisha kubaki madarakani! Hivi wapinzani wamekosa kabisa njia ya kuwadhibiti hawa watu wa kijani.
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa pikipiki na Baiskeli za CCM wanatosha kabisa kuirudisha Madarakani! Kura za watu wengine zitakuwa...
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Wakati mwingine Polepole anakosea, ukisimama katika HAKI. Mimi nadhani Kugombea kwa Samia SH siyo tatizo kwa mujibu wa katiba ya JMT,-1977 na hata ya CCM yenyewe. Tatizo kubwa ni moja samia hataki ushindani sawa kwa wagombe wengine iwe ndani ya CCM au ndani ya JMT. Anatwaa kwa nguvu madaraka!
Inasikitisha sana ni kama serikali kwa ujumla haipo Mbeya! Route zinavyoandikwa kwenye magari ni tofauti na uhalisia. Gari zimeandikwa Inyala stendi kuu, lakini zinaishia uyole!
Brother wangu alikuwaga polisi pale central (R.I.P) hakunisaidia nilipokamatwa sina leseni ya udereva! Wakaning'angania wee bila msaada wowote!
Sikuona maana tena ya kuwa na ndugu kutoka hayo maeneo.
Mkuu Lumbesa ya Mbeya ni hatari. Yaani na robo ya gunia! Lakini inawezekana wenzetu wameridhika kwa sisi Mbeya hatutaki.
Wakulima wa Njombe ndiyo wanaendekeza lumbesa!
Sasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe.
Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote. Yaani heka moja ungeweza kupata gunia za viazi 70 kwa sababu ya Lumbesa utaambulia gunia 52!
Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.