Recent content by Mpandisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, agenda yako ya kwanza iwe kuunganisha watanzania

    Hatar sanaa mkuu ila mungu hupo hakuna kisicho na mwisho dunian
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, agenda yako ya kwanza iwe kuunganisha watanzania

    Mpasuko unaźidi kuongezeka huwez kuwaita watz zaid ya million6 waliompigia kura lowasa wanywa viroba wakat kuna watu wanajiheshim na kupigania hili taifa badala ya kuonyesha hata matumain unazidisha machungu da inakatisha tamaa snaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Watu wemelia sanaaa wana maumivu yasiyoelezeka nadhan tunahitaji busara kutoka hapa tulipo otherwise uzalendo wote umepote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Shule ya msingi milenia kimara watu ni wengi sanaaa na wengi ni vijana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia ataiabisha UKAWA Vunjo

    Mbatia hana mpinzan vunjo na hatakuwa naye nimezunguka vijiji zaid ya 10 kila mtu lowasa na mbatia usijidanganye kwa hilo kwamba ataaibiasha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia kuitikisa Vunjo leo katika viwanja vya shule ya msingi Himo Pofo

    Mbatia anatutosha vunjo wengine washindikizaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Labda ubungo ya kibaigwa sio ya dar nayojua mim masabur hana chake abaki na UDA zake tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Poa thanx alot ntakutafu ngoja nijiweke sawa kidogo mkuu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante sanaa mkuu premio mnauzaje
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante sanaa mkuu kwa premio nw unauzaje
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kuuliza mkuu km una uzoefu na toyota premio uzur na matatizo yake??na ipi engine nzur kat ya D4 16 valve au vvt-i naomba ushauri mwenye uzoefu nayo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania NBC,CRDB & Bank za ndani uenda zifashindwa biashara ndani ya miaka 5

    Bank haziko km unavyozifikiria mkuu ukiendesha bank km unavyosema ww baada ya muda utafunga branch nyingi sanaa km baclayz walivyofanya kwa kukopesha mikopo isiyolipika mwisho wa siku lazima ushindwe tu..CRDB ina mising dhabit ya kuendesha biashara yake ndio maana kila mwaka faida inapanda tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nna mke huko kilimanjaro wilaya ya moshi vijijin nataka aje dar kwa aliyeko tayar nafas hiyo no yangu 0752587129
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    Ni ajabu na kwel unaachana na bwana wa zaman unapata mpya unapita njian unamzungumzia tu km CDM inakufa kinachokuuma nin!!?? Na ulishakimbia huko CCM uliko zaid ya kusaidiwa tu kipi umepata?? Angalia nyumba yako kwanza waachie wenzio zao
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangalla atangaza rasmi kuwania urais 2015

    Kwa kauli zake bungeni hata uongoz wa familia yake unamshinda leo anataka urais kwa yapi aliyofanya nzega so far kwel nchi imeuzwa no way
Back
Top Bottom