Recent content by mpambe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

    Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Kama una ushahidi toa taarifa kwenye vyombo husika. Kuna wengine wamepona kupitia hiyo Hospitali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Pole sana kwa msiba. Je wewe ni daktari? Kufa kwa hospitali siyo jibu la kilio chako. Tafakari.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Disemba 2017

    Kama ameajiriwa mshahara ni haki yake..na lazima aishi kwa mshahara wake..vinginevyo awe mwizi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Disemba 2017

    Kuna ongezeko lolote?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Poor Health services of KCMC

    Yaani Leo tu ndio mapovu yote hayo? Kuna sanduku LA maoni..Ulikumbuka kuweka maoni yako?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuache dharau kwa wanaume wa DSM! Kila siku Wanaume wa Dar, wanaume wa Dar.. Huu ni udhalilishaji

    Mbona kama na wewe unawakejeli hao wanaume wa Dar..!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki na Katibu Mkuu Utumishi wa Umma wamesema suala la uhakiki lipo juu ya uwezo wao

    Chanzo cha hii habari ni wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki na Katibu Mkuu Utumishi wa Umma wamesema suala la uhakiki lipo juu ya uwezo wao

    Chanzo cha hii habari ni wapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Masters Jomo Kenyata

    Habari za jioni wanajf. Naulizia kama kuna mtu amesoma masters ya chuo cha JomoKenyata tawi la Tanzania..anipe experience yake, wako vizuri? Kwa maana ya ufundishaji na facilities nyingine.
  11. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia unayoyafanya ni dhahiri Mrema anaumbuka

    Kumtembelea mkeo???? Sijaelewa. Wewe ni wale wanaowaacha wake zao vijijini??
  12. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: What went wrong? Mount Meru Hotel inauzwa, Snow Crest ipo mnadani

    Kuuza ni sehemu ya biashara.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    MKUU UNAUSHAHID WA HAYO? AU UMEOKOTA BARABARANI NA KUJA KUWEKA HUMU??
Back
Top Bottom