Recent content by mpambanaji kamili

  1. mpambanaji kamili

    Adv. Bashir Yakub: Tatizo siyo Law School

    Wakili Bashir Yakub amejielekeza vibaya na anatakiwa kupuuzwa kwa sababu zifuatazo. Mosi , Kumeibuka wimbi la baadhi ya watu waliofaulu law school (mawakili) kuponda kwamba tatizo lipo kwenye vyuo vinavyoandaa wanafunzi wa sheria na sio law school. Kama tatizo lipo vyuoni pekee Swali yeye...
  2. mpambanaji kamili

    BAVICHA-Kahama: Jeshi la Polisi Tarime fanyeni kazi yenu Professionally

    Baraza la Vijana Kahama tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi Tarime kumshikilia Mh Bulaya bila sababu ya Msingi ,Ikumbukwe kuwa Ukiachana na nafasi ya Ubunge aliyonayo Mh Bulaya ni RAIA halali wa Nchi hii hivyo anahaki zote na kwa Mjibu wa Sheria za Nchi kwenda sehemu yoyote bila...
  3. mpambanaji kamili

    CHADEMA YAZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KAHAMA

    Leo tarehe 4/1/2017 chama pendwa chama kilichokuwa kinasubiliwa na wanainchi kwa hamu na shauku kubwa kimezindua kampeni zake kata ya ISAGEHE wilayani Kahama uchaguzi huu umekuja baada ya diwani wa kata hyo kufariki mwaka jana katika uzinduzi wa kampeni hizo zilizohudhuiliwa na makamanda...
  4. mpambanaji kamili

    Hivi Kahama kuna Mbunge?

    Tangu uchaguzi uishe na tangu bunge lianze, mbunge wa Kahama hajawahi kuonekana bungeni anachangia wala kuomba chochote. Ina maana Kahama hakuna matatizo na ukilinganisha hiki ndio cha bajeti?
  5. mpambanaji kamili

    Lowassa atinga Kahama kusalimia watu waliofukiwa kwenye machimbo

    Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wanainchi UKAWA ametinga mjini Kahama kuwaona wagonjwa waliofukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata na kuwapa pole.
  6. mpambanaji kamili

    Mzimu wa Dr Slaa waendelea kuitafuna CHADEMA; Sasa Mbowe na Lowassa Vitani

    upuuz mwingine haupaswi kupewa nafasi hata kidogo kuujadiri.
  7. mpambanaji kamili

    UKAWA, fanyeni Mabadiliko haraka

    Mimi kama mwanamabadiliko ambae napenda CCM itoke hata kesho, napendekeza mumbadilishe haraka sana repoter wa matukio ya UKAWA wa ITV maana taarifa zake haziniridhishi. Napendekeza mmuweke Sam Mahela ili aweze kutoa taarifa zinazomtendea haki raisi wetu.
  8. mpambanaji kamili

    CCM kama mtamrudisha Ngereja Sengerema imekula kwenu

    Wakuu habarini, Poleni na mihangaiko ya hapa na pale, napenda nichukue fursa hii kuwatahadharisha ngazi za maamuzi za juu za chama changu cha mapinduzi kama watarogwa kurudisha kwenye uchaguzi jina la ngereja itakua imekula kwao, uchaguzi wa sengerema uligubikwa na rushwa ya wazi mpaka ikafikia...
  9. mpambanaji kamili

    Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    mgonjwa huyo yupo salama na anakula chakula na anaendelea vuzuri
  10. mpambanaji kamili

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Naomba ifahamike kua watanzania wana kiu ya kufanya mababadiliko baada ya kuwaamini CCM kwa mda mrefu sasa hawana imani tena na CCM wana imani kubwa na UKAWA. Sasa ikitokea chama cha CUF mkawa kikwazo au chanzo cha kuleta mgogoro kwa kukubali kutumiwa kisiasa nawaombeni mjiandae kukosa Diwani...
  11. mpambanaji kamili

    Naiona vita ya Zitto Kabwe na Kafulila, Kafulila akitengenezwa kuwa mbadala wa Zitto

    yaani lissu unamlinganisha eskalioti tutake radhi tafadhali
  12. mpambanaji kamili

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    ni bora tumjadili wema kuliko zito
Back
Top Bottom