Lowassa atinga Kahama kusalimia watu waliofukiwa kwenye machimbo

Lowassa atinga Kahama kusalimia watu waliofukiwa kwenye machimbo

Joined
Feb 21, 2015
Posts
74
Reaction score
34
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wanainchi UKAWA ametinga mjini Kahama kuwaona wagonjwa waliofukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata na kuwapa pole.

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • lowassa 2.jpg
    lowassa 2.jpg
    30.5 KB · Views: 7,948
  • Lowassa 1.jpg
    Lowassa 1.jpg
    21.9 KB · Views: 7,827
Imebakia kudandia dandia vitukio bila mpangilio. Imagine kutoka kwenye mafuriko na mapenzi mahaba huku watu wakideki barabara na kuzimia unapopita mpaka kuwa unafika kimya kimya hakuna anayejali. Siasa ni mchezo wa ajabu sana!

Nampongeza kwa kuonyesha utu!
 
Haa ha ha vip hakukuwa na mafuriko yaliyovunja record huko?wataisoma namba
 
Imebakia kudandia dandia vitukio bila mpangilio. Imagine kutoka kwenye mafuriko na mapenzi mahaba huku watu wakideki barabara na kuzimia unapopita mpaka kuwa unafika kimya kimya hakuna anayejali. Siasa ni mchezo wa ajabu sana!

Nampongeza kwa kuonyesha utu!


sawa mke wa nape tumekusikia.


swissme
 
Hongera sana Rais uliyechaguliwa kwa kura za Wananchi wa Tanzania.
 
Abarikiwe naona kasarim amli Rais MAGUFULI bas inapendeza
 
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wanainchi UKAWA ametinga mjini Kahama kuwaona wagonjwa waliofukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata na kuwapa pole .

kasubiri mtu kafa ndo kaenda kutoa pole kwanini asiende wakati bado yuko hai? kapigania uhai wake hadi umemshinda ndo unaenda na makamera kwenda kudhihaki, bora ya magufuli kampigania yule kijana pale mhimbili hadi kutoa pesa yake mfukoni, leo huyu anasubiri mtu kafa ndo anakuja na mirambirambi.
 
Ajitahidi awatafutie utaratibu wa kwenda hospitali
nzuri ili wapate huduma nzuri .
 
Imebakia kudandia dandia vitukio bila mpangilio. Imagine kutoka kwenye mafuriko na mapenzi mahaba huku watu wakideki barabara na kuzimia unapopita mpaka kuwa unafika kimya kimya hakuna anayejali. Siasa ni mchezo wa ajabu sana!

Nampongeza kwa kuonyesha utu!
Hurumia maini yako nyongo hiyo
 
Back
Top Bottom