mpambanaji kamili
Member
- Feb 21, 2015
- 74
- 34
Leo tarehe 4/1/2017 chama pendwa chama kilichokuwa kinasubiliwa na wanainchi kwa hamu na shauku kubwa kimezindua kampeni zake kata ya ISAGEHE wilayani Kahama uchaguzi huu umekuja baada ya diwani wa kata hyo kufariki mwaka jana
katika uzinduzi wa kampeni hizo zilizohudhuiliwa na
makamanda wengi wa chama hicho akiwemo mh Lembeli
katika uzinduzi wa kampeni hizo zilizohudhuiliwa na
makamanda wengi wa chama hicho akiwemo mh Lembeli