Recent content by Mpambanaji K

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Awamu ya pili inakuja

    Nawashauri mchonge sanamu yake au mjenge hekalu maalum la kumwabudu mungu wenu Lowassa. Watanzania wamefanya uamuzi na wamemchagua Magufuli awe mtumishi wao. Wengine eendeleeni kuota au kama nilvyoshauri endeleeni kumwabudu huyu mungu wenu wa uongo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Security alert in Tanzania, is the country at war? With whom?

    Askari wanalinda usalama wa nchi kwani si ndio kazi yao?hivi utalalamika ukiona madaktari, walimu etc wakifanya kazi yao ipasavyo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Inawezekana wana ajenda yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    CDM walitumia demokrasia ya fedha ambayo iko juu ya vikao vya chama. Inadaiwa Mzee alikata pochi ndiyo maana hakuna anayeweza hata kuhoji
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Si jambo jema kufurahia kifo cha mtu kwa kuwa tu ni ni wakosoaji wa lowasa au mtasababisha watu wawaanze kuwahisi vibaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    Makala hii ni ushahidi kuwa Lowassa ni kibaraka wa mataifa ya magharibi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Malalamiko haya ni matokeo ya CDM kugeuza jamii forum ndiyo ndio uwanja wa siasa. Tunadanfanyana hapa na makundi feki ukiambiwa ukweli tunaanza kulalamika. Twaweza wwmefanya utafiti siyo maneno matupu kama ya hapa JF
  8. M

    JamiiForums Tanzania Babadiliko kwanza,CCM ife kwanza,mengine baadae

    Vyama vya upinzani vinatakiwa kufanya kazi kukiondoa chama tawala madarakani lakini vya ukawa vinasema jukumu ni kuia CCM.kulikoni?au ni ule mkakati wa mabeberu kufuta historia?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe's article at The HuffingtonPost: A dangerous shift against democracy in Tanzania

    Mbowe why do you call the election expenses act draconian law while it is trying to control the influence of money in politics? Do you know that In USA where you asking for help they have a law which require people like you who seek foreign funding for election purposes foreign agents? are you...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

    Amejiuzulu baada ya kuona Amekuwa chanzo cha misuguano
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    Kuna mtalaamu moja wa masuala haya pale UDSM alishare similar insights. Kwa maoni yake we are in a highly vulnerable condition.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benson Bana na Kitila Mkumbo wanapoamua kudhalilisha taaluma zao kosa Zitto na team zao

    kuna watalaam makini wa siasa hapo UDSM kwa nini waandishi hupenda kuwatumia Bana na Mkumbo tu? By the way wote si watalaamu wa siasa. Bana ni mtalaamu wa Human Resource Management na Mkumbo ni Elimu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Please note UDSM is not involved in anyhow in that research. Please stop using UDSM name maliciously for your cheap politics.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Mods niliiweka ufafanuzi kuwa hamna UHUSIANO kati YA utafiti huo Na NGO ya TEDRO iliyofanya huo unaoitwa utafiti Lakini mumeondoa huo ufafanuzi.au nanyi mko kwenye kampeni kutumia jina la UDSM kwa faida YA hao wagombea?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Uongo mtupu.hiyo ni ngo ambayo haina uhusiano wowote na udsm.acheni upotoshaji wa makusudi
Back
Top Bottom