Recent content by Mpaka Kieleweke

 1. Mpaka Kieleweke

  Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli

  Hivi ni nani ambaye hataki kulipa fidia kwa walioumizwa ? DC anamwelekeza nani kulipa fidia ? Hivi huyu Mwakilishi wa Rais Magufuli anampelekea ujumbe gani boss wake ? Kwamba serikali ya Magufuli inakandamiza wananchi wake mpaka wanaandamana ? Hivi kumbe hii sio serikali ya wanyonge kama...
 2. Mpaka Kieleweke

  Kufilisika kisiasa kwa CHADEMA: Wanataka kumfukuza diwani aliyehudhuria maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli

  Kitendo cha CCM kuanza harakati za kumpigania humu kwa mtandao ni wazi mnajua alikosea , kwanini CCM ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika kuwa CHADEMA inataka kumchukulia hatua Diwani wake ? CCM ambayo leo ukituhumiwa kwa Rushwa unapandishwa cheo , hakika ndio CCM Mpya hiii ya Polepole...........
 3. Mpaka Kieleweke

  CHADEMA Tumbo Joto Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma, Lowasa aungana na Membe kupinga mabadiliko

  CHADEMA Inawatesa sana , hizi ni dalili za kuchanganyikiwa , eti kila atakayepinga Hoja ataitwa katumwa na CHADEMA .....Wafngeni midomo tu , si mmeshaanza kuona kila mmoja anatangaza kuwa hatagombea uchaguzi ujao?
 4. Mpaka Kieleweke

  CHADEMA tujitathmini upya kama hii mbinu ya kuwazulia kashfa ya vyeti wabaya wetu itatuvusha 2020

  Eti huyu anajiita kada wa CHADEMA........Dizaini za watu kama hawa ni wale ambao wanabadili jinsia zao kwamakusudi
 5. Mpaka Kieleweke

  Gazeti Ujerumani laandika ukiukwaji wa "demokrasia" na "Uhuru wa habari" ktk Serikali awamu ya Tano

  Matunda za ziara ya Mbowe na timu yake huko Ulaya ...nchi is on sportlight now Internationally
 6. Mpaka Kieleweke

  Kamishna Wa Magereza, Casmir Minja Aandika Barua Ya Kujiuzulu, Rais Aridhia

  Kuna tatizo kubwa kuliko tunavyoliona hapa , DCI juzi tu kawa RAS ....leo Magereza........Hatuoni bado ?
 7. Mpaka Kieleweke

  Maajabu 10 ya CHADEMA

  Whether negative or Positive .....this is Free .Publicity from Gambas ..........CHADEMA inasikika kila siku , kuna watu wanapitia headline za thread tu hawasomi content ....wanaikuta CHADEMA kuliko CCM
 8. Mpaka Kieleweke

  Kupambana na Serikali kwa maneno ya kuzusha ni dalili ya upinzani kukosa hoja

  Walizusha kwamba Wabunge wa CCM wamehongwa milioni 10 walizusha kwamba hospitalini hakuna dawa wala chanjo walizusha kwamba wanafunzi wa elimu ya juu wamekosa mikopo walizusha kwamba Shigongo anaidai CCM walizusha kwamba CCM imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake ktk kampuni ya uhuru Jipeni...
 9. Mpaka Kieleweke

  Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani umetosha kumzika Lowassa kisiasa

  Watu wana njaa ...hawawezi kushiba usaha wa majipu ....Hashim Rungwe
 10. Mpaka Kieleweke

  Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

  Wekeni ushahidi wa Mbowe na Halima kudaiwa sio kuja na porojo hapa , na kama kweli wanadaiwa ni miongoni mwa waliokiuka masharti ? Acheni kuchafua watu kwa sababu za kisiasa , mmeona jina la Ridhiwani likienda peke yake halina mvuto sio ? Wekeni ushahidi sio kuandika kwa taarifa nilizonazo...
 11. Mpaka Kieleweke

  Silengi kukera: Lowassa ni 'mwalimu' wa WM Majaliwa,Waziri Lukuvi na Makonda

  Hivi Prof.Muhongo yuko wapi siku hizi ?
 12. Mpaka Kieleweke

  Silengi kukera: Lowassa ni 'mwalimu' wa WM Majaliwa,Waziri Lukuvi na Makonda

  Hoja ni pamoja na Push ups ambazo leo uchumi unayoyoma ..........Mbona hatuoni tena mbwebwe za kuongea vilugha vyote vya kienyeji ? KUNYWA MAJI MWANANGU
 13. Mpaka Kieleweke

  Wiki ya Mwisho ya Mwezi Novemba 2016, UKAWA Hali mbaya kisiasa

  Nchi ya Viwanda wakati viwanda vinafungwa kwa kukosa nishati na gharama kubwa za uendeshaji .......badala ya kutafuta mbinu za kuokoa uchumi mnakalia Propaganda tu.........Mnaendelea kuisoma number ......
Top