Recent content by Mpagama

  1. Mpagama

    Natafuta fundi wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam

    Wana jamvi nauliza garage au fundi mzuri wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam
  2. Mpagama

    Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Hapo ulipoanza Kwa kusema kuwa wewe ni mtoto.... pia umeharibu! Angalau ungesema kijana wa umri huo ulioutaja!
  3. Mpagama

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Hiyo ya mmoja akimwaga mboga unamwaga ugali ni ya kizamani. Siku hizi ukijifanya kumwaga mboga wenzio wanaondoka na ugali wanatafuta mboga nyingine maisha yanaendelea.
  4. Mpagama

    Ufisadi huduma ya chanjo ya 'yellow fever' hapa nchini

    Siyo eti, ni uhakika. Vitabu vya zamani vilikuwa vinatolewa kiholela mpaka Airliners na Travelling Agents walikuwa wanauza vitabu hivyo. Serikali kwa kuona udhaifu huo imeamua kutengeneza vitabu vipya, na zoezi la kubadilisha vitabu linaendelea. Gharama ya kubadili ni Tsh. 5,000 Kama hukuchanja...
  5. Mpagama

    Ufisadi huduma ya chanjo ya 'yellow fever' hapa nchini

    Nenda kwenye kituo ulipopata huduma hiyo na Tsh. 5000, utajajaza form kwa ajili ya bar kitabu. Kama upo DSM nenda ofisi ya afya bandarini iliyopo mkabala na kanisa la St. Joseph, kwenye terminal ya ferry za kwenda Z'bar.
  6. Mpagama

    Ufisadi huduma ya chanjo ya 'yellow fever' hapa nchini

    Kitabu hiki ni cha zamani, nenda kwenye kituo kinachotoa huduma hiyo ukabadilishe. Kuna form utajaza, kama ulipata cha kuuziwa itabidi uchome sindano kwa gharama halali ya Tsh. 20,000
  7. Mpagama

    Ufisadi huduma ya chanjo ya 'yellow fever' hapa nchini

    Malipo halali ni Tsh. 20,000 kwa waTanzania, wasio waTanzania ni dola 50. Huyo anayesema alipata huduma kwa 10,000 alikumbana na vishoka akapewa kitabu feki. Ndiyo maana serikali kupitia Wizara ya Afya iliamua kubadili vitabu na mihuri. Kwa ufafanuzi zaidi anaweza kuwasiliana nami au aingie...
  8. Mpagama

    Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

    Huo ni uongo, kwanza hiyo picha ya gari ukiichunguza vizuri inaonesha siyo Tanzania.
  9. Mpagama

    Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Mbona nchi nyingine Raisi anaenda baadhi ya maeneo kuongea na wananchi wake akiwa na mkalimani? Mi nadhani hakuna ubaya, kwa mtazamo wangu nadhani alipoongea kisukuma ni pale ujumbe aliokuwa anasisitiza ni specific kwa watu wa eneo hilo tu.
  10. Mpagama

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Gharama yake ikoje, yaani inauzwa bei gani?
  11. Mpagama

    hand shake!!!!!!!!!!!!!

    Duh, kweli hatushake na left hand. Hata hivyo huyo dada anasumbuliwa na aina fulani ya minyoo(wataalam wa afya wanajua).
  12. Mpagama

    Hii siyo ngeni kwetu

    Kwa kiswahili cha mtaani inaweza kueleweka vibaya, lakini hasa ina maana gani ndugu zetu huko Kahama?
Back
Top Bottom