Recent content by mozes

  1. mozes

    UPDATES: Mkutano wa waandishi na Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA)

    Hawajakatazwa? Ngoja tusikie nondo za wanaume
  2. mozes

    UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Uhalali wa Shein kuwa rais Zanzibar uko wapi Kikatiba? Hili swali litafukua sababu za kufuta uchaguzi Zanzibar.
  3. mozes

    Hatimaye Israel yaleta Balozi Kamili Tanzania

    Balozi wa Israeli kaleta hati ya utambulisho Tanzania, ofisi ziko Kenya kwa ajili ya East africa countries. Infact Ubalozi wa Israel ni jambo la msingi kwa dini ya kikristo kwani Israel ni suala la imani kwa wakristo
  4. mozes

    Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Ukweli huwa haufi hata ukizikwa. Ukweli una tabia ya kujitetea wenyewe. Shahidi wa ukweli ni muda
  5. mozes

    Bundi kutua tena CCM!

    Hata Lowasa kuhamia Ukawa ilianza hivi hivi, Dr Slaa nae kusepa ilianza hivi hivi. So lolote litawezekana
  6. mozes

    Kahama: WanaCCM wafurika kurudisha kadi za CCM

    Habari imekaa kimipasho zaidi. Tulia ulete habari inayoeleweka
  7. mozes

    Godbless Lema, piga marufuku hizi pombe, banana, Kiboko, dadii, huko Arusha

    Tofautisha kazi za ubunge na za wateule wa Rais. Acha uchanga wa kisiasa
  8. mozes

    Prof. Lipumba na mbio za Urais

    Cuf wameachiwa Zanzibar coz wanakubalika, Rais wa Tz hawezi kutoka Cuf tena coz umoja unakosa maana. Na hata makamu wa Rais busara itumike sana asiwe chama kimoja na Rais. Lipumba ana haki ya kutangaza japo hekima ni muhimu sana ktk hili. Jana niliona vazi la Cuf kama Chadema vile nkafurahi
  9. mozes

    Taarifa ya Mkutano wa hadhara Kata ya Ngarenaro - Arusha Mjini

    Huu ni mkutano ambao wananchi watakuja wenyewe bila kulipwa
  10. mozes

    Taarifa ya Mkutano wa hadhara Kata ya Ngarenaro - Arusha Mjini

    KUTAKUA NA MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA (W) YA ARUSHA MJINI KATA YA NGARENARO, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO, IJUMAA TAREHE 05.06.2015 KUANZIA SAA 8:00 MCHANA HADI SAA 12:00 JIONI Wanachama, Wapenzi, Wafuasi wa CHADEMA & Wananchi wapenda mabadiliko Wahutubiaji: GODBLESS J. LEMA (MB)...
  11. mozes

    Viongozi wakuu CHADEMA kutikisa nchi leo na kesho

    kila ukawa wakifanya mkutano nyomi ya watu CCM mpaka wakodi watu wa Kuja kwenye mkutano.
  12. mozes

    Godbless Lema asaini ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto mkataba wenye thamani dola mil 3.2

    CCM wamepagawa kwa hili tukio la Arusha. Miaka yote walioongoza CCM hawakuacha legacy leo Lema kufanya jambo ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake mmeparalize. Na bado, ngoja movie ya ambulance iletwe kesho kutwa kama hamjakosa mgombea hapa Arusha. Monaban aka Philemon MOLLEL atakimbia mwentewe
  13. mozes

    Benki ya NMB waunga mkono juhudi za Mbowe za kusaidia wahanga wa mafuriko Hai

    Viva NMB kwa kuamua kuungana na Kamanda wa anga kuwasaidia wahanga wa mafuriko
  14. mozes

    Mbowe awatia moyo watia nia ya kugombea wasio na pochi nene.

    Amegonga penyewe. Nice statement mh Mwenyekiti Mbowe. Watoto wa Lumumba hawawezi hizi kauli
  15. mozes

    Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    CCM is a working dead, kwisha Habari yao. Dr Slaa amewaita ni cancer bado sio neno zuri amewahurumia. Mkitaka kujua Nape aitishe mkutano mwenyewe kama atapata watu. Ukerewe are reflecting the desire of many Tanzanians
Back
Top Bottom