Recent content by mozambique

  1. mozambique

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa watu 49 New Zealand afikishwa Mahakamani

    dah kaua watu wengi sana ilibidi na yeye auawe tu
  2. mozambique

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kukumbwa na kimbunga kikali

    tuombeeni ndugu zetu hali kwetu ni mbaya mnooo,mvua na kimbunga vinatutesa.
  3. mozambique

    JamiiForums Tanzania Trump Kiboko ya mmarekani mwenyewe,umpende umchukie ila trump ametingisha Washington

    tulia ndugu ili ueleze kwa uzuri mahaba yako kwa Trump ili tukuelewe
  4. mozambique

    JamiiForums Tanzania Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

    Aina hii ya mbwa (pitbull) hawatakiwi duniani na washaanza kupigwa ban,ni wakorofi sana na wanaweza kumuua mpaka anayewafuga.
  5. mozambique

    JamiiForums Tanzania jinsi Mexico na North Korea waliidindishia Marekani .

    Kama mkiamua kuwakazia hawa wazungu wazushi,kila kitu kinawezekana. Viva Russia
  6. mozambique

    JamiiForums Tanzania Korea Kazkazini yamtusi Obama

    Kinukisheni tu,tumeshachoka kusikia malalamiko yenu. Viva Russia
  7. mozambique

    JamiiForums Tanzania Hundreds of civilians killed in Libya fighting as crisis deepens - UN

    Mtaisoma namba si mlikubali wenyewe kutumika!
  8. mozambique

    JamiiForums Tanzania Putin cancels holiday vacation for Kremlin

    Kazeni buti akina vladmir lenine,tunawashukuru sana kwa msaada mlioutoa katika kupigania ukombozi wa nchi yetu. Viva Russia.
  9. mozambique

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Santeee kwa kuwahabarisha hao raia
  10. mozambique

    JamiiForums Tanzania Raisi samora machel alihutubia masaa saba wima juani iringa

    Samora ilikuwa ngoma ngumu.
  11. mozambique

    JamiiForums Tanzania Malcom-x.

    ngoja nimfuatilie
  12. mozambique

    JamiiForums Tanzania African satellite world

    Kama sijakuelewa vile au ni kwa kuwa kiingereza kinanisumbua?
  13. mozambique

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya mashujaa Mozambique

    Ni kweli kabisa kaka afrika ni moja ILA wazungu wameigawa bila kutushirikisha,katika jimbo la cabo Delgado kiswahili tunakiongea. Nalikumbuka hilo jina sasa hivi panaitwa Maputo.
  14. mozambique

    JamiiForums Tanzania Kesho ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa CCM karibuni wazalendo

    Hakuna shaka kaka kesho tutatimba.
Back
Top Bottom