Recent content by moyo wa bilionea

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wewe endelea kujipodoa sana uone kama utaolewa

    OK. Vipi kuhusu kuolewa, imekuwa ngumu sana wanawake kuolewa siku hizi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi

    Pole sana Dada.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmed Salim alikuwa na nyota na alipendwa

    Umri na ugonjwa. Amepata mitihani sana. Pia alifiwa na mkewe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wewe endelea kujipodoa sana uone kama utaolewa

    Ina maana hivi sasa wanawake kupata wanaume wa kuwaoa imekuwa kazi sana Sexless ? Wanaume wanachunguza sana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

    Ni kama hakuna vibonge feminist. Wana mioyo safi sana wanawake vibonge
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

    Umejichanganya Dada yangu. Kwa ujumla kila mwanaume anapenda awe na mke mnyenyekevu - submissive wife. Hili ni jambo la asili. Kinyume na hapo hakutakuwa na masikilizano.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

    Wanawake wanene wengi wako peace sana cc HB Zadd hata ukienda kwenye maofisi/maduka ukikuta mwanamke mnene utapewa customer care nzuri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Wanaomfahamu wanasema licha ya kuwa mbunge anaendesha gari mwenyewe? anyway, kuachwa kwenye baraza la mawaziri anaona ni kama ameshatelekezwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

    Ni mbunge wa zamani wa jimbo la Kibaha mjini, sijui huyu jamaa Fortilo amemtaja kwasababu gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Kwani binti akifika 30 anakuwaje mkuu ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Hivi ni kweli mwanamke hasipotongozwa inamuumiza? Kwasababu gani mkuu Sea Beast unasema mwanamke hawezi kushindana na mwanaume kwenye muktadha wa uhusiano?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga maombi, rafiki yangu akapatwa na janga

    mkuu Showmax maombi ya usiku wa manane yana nguvu sana?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

    Unavyoona binti ana Mapenzi ya kweli hapo mkuu Half american ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

    Sawa Nakadori ila mimi nimeuliza in-general yaani kawaida yenu wadada
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

    My sister Nakadori hivi wadada huwa mnaangalia tofauti ya umri kama umempenda mwanaume kweli?
Back
Top Bottom