Recent content by moylahman lahman

  1. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania House Girl wangu anatembea na kishoka wa TRA, Je nifanyeje?

    Kishundu kimekaa kiuchokozi!
  2. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    Kumbuka kumalizia mjengo!
  3. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

    Itakuwa waliingia goha kidogo maana nawenyewe ni weusi isipokuwa nywele zao ni singer
  4. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wavivu

    Kweli tupu![emoji33]
  5. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania I love my Dady!!! Ingekuwa wewe ungemfanyeje mwanao

    Huku kwetu watoto hatujazaa cc lkn wanavyoandika balaa mala kokwa za embe kwny bomba la moshi kifusi cha mchanga kwny bonet mala umkute kwny roof pressure tupu!
  6. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Sipendi kujichanganya na watu, je nina tatizo au ni kawaida?

    Mkuu mimi huwa inanitokea Mara moja moja kuwa peke yangu hata kama nnafuba kiasi gani huwa natafuta sehemu tulivu natulia kimya na iwapo atatokea mtu wa karibu najiskia vbaya kuja karibu yangu lkn kuna siku huwa nahitaji kampani hata kwa gharama yangu!
  7. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Peugeot 404 pikup Inauzwa

    Picha tafadhari!
  8. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Peugeot 404 pikup Inauzwa

    Inamaana imetengenezwa kabla kalenda haijagunduliwa?
  9. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Peugeot 404 pikup Inauzwa

    Ya mwaka gani?
  10. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Nina mpenzi lakini naona kama ni bomu la nuclear

    Kimbia sana utakuja kusomesha ndugu zake huyo!
  11. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je ni kweli kuweka pesa kwenye 'wallet' ni ushamba?

    Unatembea na million ukafanye manunuzi au pocket money maana pesa ya kwenye wallet ni pocket money
  12. moylahman lahman

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Kama Mimi nisipopiga 2/3 ni maruweruwe tu!
Back
Top Bottom