Recent content by Movado

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la kufungua Car wash

    Nicheki na mimi basiiiii nahitaji sehemu ya maana sana nipige cr wash, cafe, one stop ya mobile transactions
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la kufungua Car wash

    Dahhh wadau wamekauka. Vp umefanikiwa lakini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania NEW 124gb USB Flash with the latest Hollywood Movies for sale

    Nikikupa list ya movies nazo taka ziko kama 18 ni animation za watoto (cartoons) unaweza kunifanyia downloads kwa flash nikupe hela? Kama you can call me/sms me 0784808080 ASAP
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vacancy advertisement

    Nina Wheeloader loader kubwa na moya kabisa pamoja na tipper mende 6x4 zipo mbili, nataka nikukodishie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo truck

    Bei??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Brothers ICT- Mafundi Computer,Simu, Programming,Software installations na Graphics design.

    Macbook yangu inazingua wifi! Acer yangu inazingua keyboard, baadhi ya letters ni ngumu ku press na zingine loose! Nahitaji wireless connectivity at my house, je wewe ni isp pia?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Njoo tufanye biashara

    Magari ya wizi hizoo
  8. M

    JamiiForums Tanzania TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Unayo wireless home theater?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Masuala ya Mirungi/Mairungi katika nchi mbili za Kenya na Tanzania

    Mimi Ni mTanzania. Nakula Mirungi kila Jumatano, Ijumaa na Jumamosi. Napiga kazi yangu vizuri, baada ya kazi napiga gomba, mti unapanda kichwani na bishara yangu inaendelea, nashanga tunaakili mgando na kuikataza nchini kwetu, compare madhara ya pombe na mirungi na uone kipi kibaya zaidi. Hapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri na yakisasa kwa bei nafuu inapangishwa

    Masaki rent ngapi!?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Candidates walio teuliwa - Manispaa

    Habari wadau, Nilikuwa ughaibuni mudaa wa miezi 6. Nimerudi jana, naomba msaada kufahamu kama uchaguzi wa manispaa umeshafanyika!? Na kama tayare, waheshimiwa ni kina nani! Nina shida na manispaa ya Ilala ambayo previously alikuwa ni Bwana Slaa, je amefaulu uchaguzi? Na kama sio, nani ameshika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania The Most Beautiful City in Africa

    C.T. Ni nomaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux for sale

    10m CASH
  14. M

    JamiiForums Tanzania LG home theatre 1000watts brand new!

    Unayo wireless?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nauza sigara aina ya Maliboro

    Umezilipia kodi hizo mafegii
Back
Top Bottom