Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Ina vyumba 3, maji na IPO eneo nnzuri wanapaita masaki pa Temeke. Mawasiliano 0685023639
AISEE TEMEKE AU CHANG'OMBE nahitaji chumba masta, sebule na jiko nyumba yenye fensi. budget 200k vipi ntapata???Ina vyumba 3, maji na IPO eneo nnzuri wanapaita masaki pa Temeke. Mawasiliano 0685023639
Ina vyumba 3, maji na IPO eneo nnzuri wanapaita masaki pa Temeke. Mawasiliano 0685023639
...teh teh teh teh..nlidhani anaependa ganda la ndizi ni Nuh Mziwanda tu,kumbe avumae baharini ni papa .......!VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTA NA SEBULE PAMOJA NAJIKO MAENEO TEMEKE KIJICHI KIVUKONI,TEMEKE MWISHO BEI 150,000 NA PARKING IWEPO SIMU 0712690760
...teh teh teh ...sie tunaoshindwa kuishi "Masaki ya Temeke" tunawaona dalali Kulwa/Doto na maisha yanasonga sheikh!Kodi za nyumba hizi na mishahara yetu ya kuungaunga hii lazima uwe mwizi hata kama hupendi